Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Mngoni mwenzangu yawezekana wengine waliotaka kukuua wala sio serikali ni wale uliowachukulia wake zake. Maana umekuwa mtu wa kuchukua wake za watu wengi sana
 
Mmeamua kuimba pambio sasa 😂
Ila hamna majibu kuhusu udhaifu wa intelligent ya nchi maana hadi leo hamjabaini ni nani alimimina hizo risasi 30.

Hii ni tz 😂😂
Na wewe unaamini serikali haijabaini?
 
Hapo kwenye hofu mzee umepatia sana. Yaani watu walijawa na hofu sana hasa watumishi wa umma.
 
Unajua mijitu yenye roho mbaya lakini inavaa ngozi za kondoo, mijitu inayojitamba kuwa yenyewe ni mijoka inayojivua gamba tu siku baada ya siku ,hiyo ni mijitu miovu sana maana nyoka ni shetani, hivyo wananchi tusinyamaze bali tuungane na wenzetu ambao MWENYEZI MUNGU amewapatia ubavu wa kusema,
Tusiwe mazombi basi hata mitandao iwe ina burst kwa kutoa hoja zenye kuwaunga mkono wenzetu hao.
Achana na 4,5,6 hakuna kitu humo nje kijani ndani kumejaa damu za wahanga, ujanja wa tikitimaji.
 
Atakuja kukuzalishia mkeo haraka sana we msifie tu
 
Katiba mpya/bora ndio dawa ya ushetani na uholela wenu huu. Yaonekana mlikuwa mnafaidika nao sana.
Nchi yatakiwa kuendeshwa kwa sheria imara zinazolinda haki na kusimamia usawa katika TAIFA na sio matakwa/ubabe ya viongozi na washirika wao.
 
Kuna uwezekano "deep state" waliona magu ni aina gani wakaamua kum fix kabla hali haijaendelea kuwa mbaya.
Limenifikirisha sana lile swala.la malori ya mafuta kupakia weapons as if ni mafuta kuelekea DRC, yaani vitu vya ajabu sana, damu za watu za nje mpaka.za ndani, ndio nikaelewa yule mrefu mwembamba kama msomari somari hivi urafiki ulikuwa mkubwa sana kwa nn,ila MUNGU, acha aitwe MUNGU,
 
UNLESS KAMA NA WEWE NI MMOJA KATI YA WAUAJI. ALIYO YAONGEA MWINGIRA YANATAFAKARISHA SANA KAMA MTU UNA MACHO YA KUANGALIA MUSTAKABALI WA TAIFA HILI.
Tatizo lenu mafisadi ni ubwanyenye
Jamaa kawapeleka mbio kidogo tu jasho kila kona
Leo munarudia yaleyale angalau mulishazoea kidogo
Sasa akija mwingine wa vile si itakuwa shida tenaa?!
 
Mchakataji papuchi za waumini wake tena wake za watu,kwa kweli tuna watu wa hovyo sana.
 
Alijuaje kama ni watu wa Serikali sababu ameshajitangaza yeye ni bilionea wahuni lazima wamtafute pia zile skendo zake anadhani wahusika wameridhika tu kirahisi rahisi eti askofu[emoji23][emoji23].
 
Kijitu kama hiki utakuta ni cha buku saba tuu pale Lumumba na kina shida kimejaa vumbi mwili mzima
 
Enzi za Jakaya umelia na mkamuita dhaifu, enzi ya Magu umemtukana, na bado mnapambana na mfu na sasa kwa Mamá nako mmeanza kumdhihaki

Sasa Raisi gani kwenu aliwahi kuwa mzuri mkamfurahia!????
Na hao ndio wanadamu hawana dogo wala hawana jema!!!!!!

Ndio yale yale
Mwenye Demu, Hana getto
Mwenye Getto, Hana Demu
Mwenyevyote, Hana Hela
Mwenye Hela, Hana Maguvu ya Kiume!
 
Reactions: tyc
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…