Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Youtube yanapatikana mahubiri ya leo?
 
Kwa sababu ya katiba. Rejea maneno ya mwalimu kuhusu katiba.
 
Return of the Kings...
 
Despite all odds.
Kutetekeza mashamba ni dhambi na laana kubwa sana. Ni ajira ngapi zimepotea hapo. Ni watu wangapi ambao wangepata sehemu y msaada wa chakula wameathirika. Serikali imepoteza kodi kiasi gani kwenye haya mashamba kusimama kazi.

Ni mtawala kipofu tena mwenye kubeba shetani mabegani kwake ndo mwenye uthubutu wa kufanya hayo.

Mwingira najua hadanganyi kwa sababu naelewa vita aliyokuwa anapigana nayo kimya kimya. Benki ile ikafilisiwa. Alipelekewa compliances areas alipe.

Kweli tuliona kuna kitu kinafanyika ktk miundombinu lakini hatuambiwi wangapi wamefilisiwa kulipia hizo gharama.

Kama nchi ni aibu kubwa kufika huko
 
Duh, ila Mwingira nae mhuni sana, kazi ufirauni tu kwa wanawake, pole yake, ila story ya upande mmoja tu hiyo, huyo dada usikute yeye ndio demu wake, labda kamuua yeye kuficha mambo yake. Hawa watu usiwaamini wakiongea, fikiri kiundani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…