Kipindi Magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa ikikabiliwa na baadhi ya changamoto kama zifuatazo:
1. Ufisadi na Rushwa serikalini mpaka ndani ya chama cha CCM
2. Wizi na ujambazi majumbani, biasharani mpaka kwenye mabenki
3. Mauaji ya albino
4. Madawa ya kulevya
5. Ugaidi wa kibiti na kule amboni
6. Uporaji silaha vituo vya polisi
7. Ukwepaji kodi na utakatishaji fedha
8. Vyeti feki na watumishi hewa
9. Na mengineyo mengi
Miaka MINNE baada ya Magu kuingia madarakani, asilimia 90% ya hizo changamoto zilikuwa ni historia,,, hatukuzisikia tena zikijitokeza, Serikali ya awamu ya TANO ilizitokomezea mbali
Sasa huyu Mwingira alishakuwa na kashfa za madawa, lakn pía enzi za utawala wa Jakaya alishawahi kukamatwa na mkono wa albino ndani ya gari lake, haikujulikana kesi yake aliimalizaga vipi lakn alirudi uraiani na kuendelea na mishe zake
Sasa mtu mwenye kashfa za namna hiyo ataufurahia vipi utawala uliokata mrija wa chakula chake cha harámu!????
Vipi kuhusu waliokuwa wakishiriki matukio ya ujambazi, vyeti feki, wauza madawa, wapiga dili za ufisadi Serikalini, wezi na wahujumu wa mali za CCM, wakwepa kodi,, nk nk
JE WATU WA KWENYE MAKUNDI HAYA WATAFURAHIA UTAWALA WA MAGU ULIOHARIBU MRIJA WA CHAKULA CHAO...!????