Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Huyo bishop ni malaya sana/kuna siku akiwa madhabahuni alimsimamisha mkewe mbele ya watu eti wakiwa kweny 6 x 6 huwa wanaupiga mwingi daaaah huyu ndo Askofu
Mwingira alivo muhuni angetaka kuuliwa si wangetumiwa hao malaya.
 
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:

1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."

2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."

3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."

4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."

5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."


26/12/2021.

Stay tuned..

====

Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Basi CDM mkisikia hv mnajiliwaza automatically huyu ndugu anakuwa rafiki yenu!!?
Hamnaga sera ama mipango ya kiuchumi kitaifa....
mpo kwenye petty issues sana
 
Hakika nampenda huyu Mzee, alimtabiria Magufuli kifo na kweli Magu hakukatiza miezi 6 akavuta kamba
Kama wana Imani hiyo kwanini wakati wa uchaguzi asiombe atokee kiongozi asiye na mapungufu
 
Hasira za Mwingira ni benki yake ya Efatha kufilisika na ilipoomba loan from BOT ikakutana na kizingiti kwakuwa benki ilikuwa na janja janja nyingi ktk kujiendesha kwake ikiwemo fedha kumiliki baadhi ya mali ambazo ziliingia nchini kwa mgongo wa kanisa na kukwepa kodi nk

Ila hizo porojo za kusema eti watu wa Serikali walitaka kuniua mara tatu apeleke hizi pumba kwa wahuni wenzake, ajue tu kwamba mkono wa Serikali ukikutaka haukukosi
Ni wangapi wameteketezwa ni serakali ya aliyokuwa anaongoza magufuli?

Mbona mnajitia ujinga kichwani?

Au kwa vile hayakukufika wewe unaona wengine hayawezi kuwafika?

Kiufupi ni kwamba magufuli alikuwa muuaji aliyejificha kwemye kiti chá uraisi.

Kutekwa,kuuliwa kwa watu na wengine kulalamika kama kiongozi wa nchi kuna siku alikemea hayo maovu yaliyokuwa yanajitokeza nchini?

Teteani ujinga alikuwa anaufanya lakni ukweli ndio huwo.

Mungu hapendi wanafiki na magufuli alikuwa mnafiki sana kila siku ibadani akitoka kauli mbovu matusi kwa watumishi wa umma kisha mnakuja na kumtetea, kashakufa nenda ukamfufue aendeleze kazi yake.
 
Enzi za Jakaya umelia na mkamuita dhaifu, enzi ya Magu umemtukana, na bado mnapambana na mfu na sasa kwa Mamá nako mmeanza kumdhihaki

Sasa Raisi gani kwenu aliwahi kuwa mzuri mkamfurahia!????
Kwahiyo kama magu hakuwa dhaifu ndio atumie Urais wake kwa kuteka,kuuwa,kutukuna watu, kufilisi watu,kuvunjia watu makaazi yao n.k?

Ndio katiba ilivyomuelekeza afanye hvyo?

Magu alikuwa mshenzi.
 
Enzi za Jakaya umelia na mkamuita dhaifu, enzi ya Magu umemtukana, na bado mnapambana na mfu na sasa kwa Mamá nako mmeanza kumdhihaki

Sasa Raisi gani kwenu aliwahi kuwa mzuri mkamfurahia!????
Hivi unadhani kikwete leo akifa ataoga matusi kama aliyooga huyo shetani?

Mkapa alikufa... Watu wa pemba si uliwaona walivokuwa?

Huku Bongo alitukanwa kama alivyotukanwa huyo mungu wenu?
 
Back
Top Bottom