Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Kama ulibomolewa makazi yako kinyume na sheria basi nenda mahakamani haki yako itapatikana, ila kama ulijenga kinyume na sheria ya ardhi na makazi NAKUPA POLE mkuu

Kutokujua sheria hakuna excuse
Mahatma gani ya Tanzania inayotoa haki bila ya matakwa ya mamlaka ya juu.

Sinamakazi huko lkn hayo yamefanyika kinyume na taratibu.

Anaetoa vibali vya ujenzi ni nani?
 
Ukitaka kumtoa nyoka shimoni usibomoe shimo, mwagia mafuta ya taa tu atachomoka mwenyewe. Tunaenda pazuri ....
 
Nakwambia hivi kubali au kataaa magu alikuwa muuji alikuwa amejificha kwenye mgongo was Urais.

Tetea ushenzi wake lakni ndio hivyo tena maji yakishamwagika hayazoleki tena.
 
Hapo wajinga watakutajia Lisu! Pia huyo Mwingira ni kiongozi upumbavu hana hekima hata kidogo!
 
Kama ndivyo fuata utaratibu wa kisheria ili haki itendeke...
 
Suala sio CCM kufa.

CCM haiwezi kuwa na shida kama ina binadamu wanaojali utu,heshima,demokrasia na utawala bora.
Tujifunze kutenda wema katika nafasi zetu.

Basi walau hata pale ubaya utokeapo ionekana ni katika kutimiza wajibu zetu kama viongozi.
Kumbe nyie ni wajinga!

Badala ya kuomba ccm ife mnaomba afe mtu?

Haya baada ya kufa kwake vipi maisha?
 
Unadhan yule Iblis alijali hayo????yule hata kama ulikuwa na mgogoro nae primary lazma angekukomesha kwa madaraka yake
 
Noma sana. Askofu kaponea chupli chupli mara tatu?
Aendelee kuwadanganya vipofu. Kamchukua mke wa mtu na kumzalisha au anadhani tumesahau? Akatoa rushwa mumewe afukuzwe nchini kuwa sio raia ili asiendeshe kesi ya kuobiwa mke. Mwingira asidhani kuwa sisi tu vipofu. Halafu mbona hata akisimama kuhubiri madhabahuni anaonekana mwrupe sana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…