mr_politician
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 631
- 452
hahaha, Jthebaptist kwenye ubora wako.Bado wanalialia Mwamba kaonewa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha, Jthebaptist kwenye ubora wako.Bado wanalialia Mwamba kaonewa!
Anataka tu umaarufu, kwa lipi auawe na serikali, arudisha pesa alizoiba kupitia benki yake pale Mwenge, aache kuwatoza waumini wake anapowalazimisha walale kule Visiga na arudishea mashamba aliyopora kule Sumbawanga, huyu ni tapeli wa kidini sawa tu na akina Bushiri wa Malawi na wengineo wengi
Hivi unajua hata sababu ya mashamba yale kuchomwa na wananchi? Au hata hujui nini kilimsibu kwenye yale mashamba unakurupuka tu
TRA waanze na hapo kwanza alafu Takukuru watafatia.
Na yeye aache uhuni mkuu maana sio msafi kunyooshea wengine vidole, pia Kuna maelfu ya mashamba alizulumu Raia huko Sumbawanga, asijifiche kwenye kichaka Cha dini kutafta huruma aisee.
Ila kutakuwa na kitu kinakuja, kama vile anajihami, ngoja tusubiri. Usikute huyo Dada aliuawa na yeye Nabii sasa labda upelelezi umekamilika wanataka kumshitaki kaja kujihami ili kuhadaa jamii kama alivyodandia katiba Mbowe na ugaidi.
Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwa
Nasikia yule wakili alikufa hana uwezo na kina Mwingira wakabaki na mali zake! Jamani, hizi dini nyingine ni ushetani mtupu, shetani anajifanya malaika wa nuru!
Ndio maana aliomba kwa bosi wake tukapewa raisi wa vile. Haiwezekani bosi wake kuwa ni Mungu.
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."
5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."
26/12/2021.
Stay tuned..
View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.
Pia, soma:
Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata
Ushoga wamliza kwa uchungu RC Makonda kanisani Efatha kwa mchungaji Mwingira
Katika ibada inayoendelea kanisa la mchungaji Mwingira Mkuu wa mkoa RC Makonda Amelia kwa uchungu mbele ya madhabau kutokana na matukio mabaya yanayoendelea mkoani Dar ess salaam hasa suala la ushoga === Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo amehudhuria ibada ya kwanza kwa Askofu Mwingira DSM...www.jamiiforums.com
BADO mo Dewi na zakaria ipo siku watafunguka
legasi ya mwendakuzimu kwisha kabisa
Mi Naona ujinga unafanywa na serekali ya ccm ndo hatari zaidiSerikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...
JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
Masuala ya kanisa na kutaka kuuliwa kwa viongozi wa dini vinahusiana vipi?Serikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...
JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
CCM ilishakufa kitambo sasa tunaongozwa na deep state,muhimili uliojichimbia!Kumbe nyie ni wajinga!
Badala ya kuomba ccm ife mnaomba afe mtu?
Haya baada ya kufa kwake vipi maisha?
Nimeipenda Jiwe ukizingua gizani linakufinya huko huko, halikuleti kwenye mwanga. Yaani ukiwa mhuni jamaa alikuwa anakuahughulikia kimtaa mtaa, yaani kihuni huni tu. Na ndio kelele zikaanza kusikika, mara ooh hafuati katiba, watu wanapotea, mara oooh dikteta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule mzee ukimletea uhuni gizani naye anakufanyia uhuni mara 10 ya wewe, tena huko huko gizani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Serikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...
JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
Kwani dhalimu wenu aliekuwa anafanya hayo si alishakufa na sasa mnapumua?CCM ilishakufa kitambo sasa tunaongozwa na deep state,muhimili uliojichimbia!
Nimeipenda Jiwe ukizingua gizani linakufinya huko huko, halikuleti kwenye mwanga. Yaani ukiwa mhuni jamaa alikuwa anakuahughulikia kimtaa mtaa, yaani kihuni huni tu. Na ndio kelele zikaanza kusikika, mara ooh hafuati katiba, watu wanapotea, mara oooh dikteta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule mzee ukimletea uhuni gizani naye anakufanyia uhuni mara 10 ya wewe, tena huko huko gizani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko wapi Sasa?...mbona hasikiki tena?Nimeipenda Jiwe ukizingua gizani linakufinya huko huko, halikuleti kwenye mwanga. Yaani ukiwa mhuni jamaa alikuwa anakuahughulikia kimtaa mtaa, yaani kihuni huni tu. Na ndio kelele zikaanza kusikika, mara ooh hafuati katiba, watu wanapotea, mara oooh dikteta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule mzee ukimletea uhuni gizani naye anakufanyia uhuni mara 10 ya wewe, tena huko huko gizani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sheria za nchi hazitoshi kushughulika nao?..Mambo ya dola ni magumu sana, leo hii ukionyeshwa ya gizani ya wanaojifanya wema huku unaweza ukafa kwa presha na hasira, Watu hawa ni wema sana kwenye jamii na ndugu zetu lakini unyama wanaoufanya ni zaidi ya uhaini huko gizani....
NBC, na CRDB zilifirisiwa na watu ambao walikuwa wema sana na sisi tuliwaona matajiri na role modals wetu kwenye maisha...lakini utajiri wao ulitokana na wizi wa mali ya umma...Watu hawa ukideal nao kiungwana kwenye mainstream watakumaliza wewe asubuhi tu, watu hawa wanafinywa gizani huko kimyakimya...