Askofu Mwingira: Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali

Anataka tu umaarufu, kwa lipi auawe na serikali, arudisha pesa alizoiba kupitia benki yake pale Mwenge, aache kuwatoza waumini wake anapowalazimisha walale kule Visiga na arudishea mashamba aliyopora kule Sumbawanga, huyu ni tapeli wa kidini sawa tu na akina Bushiri wa Malawi na wengineo wengi

Uko Sahihi ila kwa leo amesema ukweli.
 
Hivi unajua hata sababu ya mashamba yale kuchomwa na wananchi? Au hata hujui nini kilimsibu kwenye yale mashamba unakurupuka tu

Haya kuchomwa na wananchi, usidhani mtatupoteza kirahisi. Ameshawataja wahusika, hivyo hata mseme nini, Ukweli uko palepale.
 
Na yeye aache uhuni mkuu maana sio msafi kunyooshea wengine vidole, pia Kuna maelfu ya mashamba alizulumu Raia huko Sumbawanga, asijifiche kwenye kichaka Cha dini kutafta huruma aisee.

Jifunze kuvumilia ukweli, na ukweli huwa unaaumiza hivyo tulia tu.
 
Ila kutakuwa na kitu kinakuja, kama vile anajihami, ngoja tusubiri. Usikute huyo Dada aliuawa na yeye Nabii sasa labda upelelezi umekamilika wanataka kumshitaki kaja kujihami ili kuhadaa jamii kama alivyodandia katiba Mbowe na ugaidi.

Ukweli uko hadharani, hizo nyingine itakuwa ni mbwembwe za kupoteza maboya waliominishwa na propaganda za dhalimu. Ukweli huwa unachelewa tu lakini huwezi kuuficha muda wote.
 
Kabla ya kiwanja jamaa alikuwa anamshawishi mke,baada ya kumla, amshawishi mume apeleke mapesa kanisani kwa Mwingira, mke akawa anashinda church mpaka jamaa kastukia mchezo, anastuka Mali zimekwisha na mke ameshaliwa
Nasikia yule wakili alikufa hana uwezo na kina Mwingira wakabaki na mali zake! Jamani, hizi dini nyingine ni ushetani mtupu, shetani anajifanya malaika wa nuru!

Ndio maana aliomba kwa bosi wake tukapewa raisi wa vile. Haiwezekani bosi wake kuwa ni Mungu.

Mnayosema yote ni kweli wala hatuwakatalii, ila alichosema leo huko kanisani ni kweli tupu. Hivyo ibueni uchafu wake mwingine wowote, lakini hamuwezi kufifisha ukweli aliosema leo.
 
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:

1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."

2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketzwa Shambani kwangu."

3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."

4. "Dada aliyetoa taarifa za mipango ya kuuawa kwangu aliuawa Rombo Hotel Shekilango Dar es Salaaam."

5. "Mwaka unaokuja Watanzania watakuwa Salama."

26/12/2021.

Stay tuned..
View attachment 2058518
Mtume na Nabii Josephat Mwingira ni Mtumishi wa Mungu na kiongozi wa huduma ya Efatha Ministries nchini Tanzania.

Pia, soma:

Uchaguzi 2020 - Askofu Mwingira: Lissu ni mshindi, hajajenga flyover wala reli. Watu wanamfuata

Askofu bill 10 unafanya biashara gani?
 
BADO mo Dewi na zakaria ipo siku watafunguka

legasi ya mwendakuzimu kwisha kabisa

sasa Zakaria naye na Mo Dewji....nao niwakuwasikiliza?..... kuna watu kufinywa ilikuwa sawa kabisa....tena kibano kilikuwa kidogo sana, walipaswa kufinywa kisawasawa dhidi ya ujinga wanaoifanyia hii nchi...
 
Serikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...

JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
 
Mi Naona ujinga unafanywa na serekali ya ccm ndo hatari zaidi
 
Serikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...

JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
Masuala ya kanisa na kutaka kuuliwa kwa viongozi wa dini vinahusiana vipi?
Kama Jana humu nimesoma habari ya lwejaba nae alifanya kosa gani?
hata Kama viongozi wa dini Wana makosa mahakama si zipo?
 
Magufuli alikuwa ni Shetani aliyevalishwa ngozi ya binadamu! Ni bora kashughulikiwa mapema, angefika 2025 angeiingiza hii nchi kwenye mkwamo na machafuko makubwa sana ambayo hayajawahi kutokea! Wahutu sio binadamu kabisa, ndiyo maana Kagame hacheki nao hata kidogo
 
Kumbe nyie ni wajinga!

Badala ya kuomba ccm ife mnaomba afe mtu?

Haya baada ya kufa kwake vipi maisha?
CCM ilishakufa kitambo sasa tunaongozwa na deep state,muhimili uliojichimbia!
 
Serikali imeyalea sana haya makanisa, yamepata wafuasi sasa na sehemu za kusemea yanaanza kusumbua nchi....PK Rwanda aliliona hili akayapiga pin...

JPM alikuwa sahihi sana kudeal na washenzi huko huko ushenzini gizani....Hii nchi kuna watu wanafanya ujinga gizani halafu mbele ya macho ya kawaida ni wema sana, wakifinywa gizani huko huja kwa wananchi na kuwatumia kama silaha....
Nimeipenda Jiwe ukizingua gizani linakufinya huko huko, halikuleti kwenye mwanga. Yaani ukiwa mhuni jamaa alikuwa anakuahughulikia kimtaa mtaa, yaani kihuni huni tu. Na ndio kelele zikaanza kusikika, mara ooh hafuati katiba, watu wanapotea, mara oooh dikteta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule mzee ukimletea uhuni gizani naye anakufanyia uhuni mara 10 ya wewe, tena huko huko gizani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya dola ni magumu sana, leo hii ukionyeshwa ya gizani ya wanaojifanya wema huku unaweza ukafa kwa presha na hasira, Watu hawa ni wema sana kwenye jamii na ndugu zetu lakini unyama wanaoufanya ni zaidi ya uhaini huko gizani....

NBC, na CRDB zilifirisiwa na watu ambao walikuwa wema sana na sisi tuliwaona matajiri na role modals wetu kwenye maisha...lakini utajiri wao ulitokana na wizi wa mali ya umma...Watu hawa ukideal nao kiungwana kwenye mainstream watakumaliza wewe asubuhi tu, watu hawa wanafinywa gizani huko kimyakimya...
 
Wahaini na wahuni wamejificha kwenye makanisani, misikitini na kwenye vyama vya siasa... Ndio Wafadhili wa vyama vya siasa, ndio wahubiri makanisani na misikitini na ni wema kweli kweli mwangani.....Ukiwagusa jamii nzima itapiga kelele wanaonewa kumbe masikini hawajui watu hawa huko gizani ndio wanaowanyonya damu...

Dawa ya watu hawa ni kudeal nao huko huko gizani..na kuwamaliza maana ndio chanzo cha Taifa kukwama pia...
 
Nimeipenda Jiwe ukizingua gizani linakufinya huko huko, halikuleti kwenye mwanga. Yaani ukiwa mhuni jamaa alikuwa anakuahughulikia kimtaa mtaa, yaani kihuni huni tu. Na ndio kelele zikaanza kusikika, mara ooh hafuati katiba, watu wanapotea, mara oooh dikteta[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yule mzee ukimletea uhuni gizani naye anakufanyia uhuni mara 10 ya wewe, tena huko huko gizani.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko wapi Sasa?...mbona hasikiki tena?
 
Mambo ya dola ni magumu sana, leo hii ukionyeshwa ya gizani ya wanaojifanya wema huku unaweza ukafa kwa presha na hasira, Watu hawa ni wema sana kwenye jamii na ndugu zetu lakini unyama wanaoufanya ni zaidi ya uhaini huko gizani....

NBC, na CRDB zilifirisiwa na watu ambao walikuwa wema sana na sisi tuliwaona matajiri na role modals wetu kwenye maisha...lakini utajiri wao ulitokana na wizi wa mali ya umma...Watu hawa ukideal nao kiungwana kwenye mainstream watakumaliza wewe asubuhi tu, watu hawa wanafinywa gizani huko kimyakimya...
Sheria za nchi hazitoshi kushughulika nao?..

.Sasa sheria zina kazi gani kama mnatumia uhalifu kushughulika uhalifu?
 
Back
Top Bottom