BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
ni mola pekee ndiyo mwenye uwezo wa kujua nini kitatokea kesho wala sio binadamu yeyote,hao watabiri wamekutana na watu wajinga na wanawapa ujinga,na wao wanaamini ujinga.Kama Ponda, lakini akisema askofu walaa sio uchochezi.
haya ni mambo ya kawaidatu. Najua jambo hili linawaumiza sana watu wa ccm. Hawapendi kusikia mambo haya.
Tb joshua. Alitabiri uchaguzi wa kenya. Na hikawa hivyo, akatabiri na uchaguzi wa nchi yake nigeria na hikawa hivyo hivyo.
Na hata hapa kwetu alishatabiri juu ya lowassa kuchukua nchi mwaka uhu. Sasa wanaobisha tukutane baada ya uchaguzi.
Huyu askofu ni kilaza, aliyesema uislamu ni dhehebu mi nani?
Hivi hii 'mitumishi' feki ya Mungu sijui imelishwa nini?? yaani kipindi hiki ndo tunaona viongozi wa dini vilaza! Mi mkristo, ila mbona wenzetu waislamu wametulia tuli wala hawako bize kuligawa taifa??
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
Ukiona mtu kaandika kwa mwelekeo wa ushabiki wa kidini puuza, kwani amani yetu ni bora kuliko magufuri na ni bora kuliko lowasa, baada ya oct awe ni magufuli kashnda au ni lowasa basi yeyote kati yao atakuwa ni raisi wako tu.Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)
Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.
jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi
Mwingira tapeli tu hana lolote ni nabii wa uongo pamoja na gwajima wake miujiza feki ya kishetani na tabiri za uongo namfahamu vizuri mme wangu tangu aingie kusali efata ndo kawa mbaya kuliko. Kawa na tabia mbaya mpaka basi
usijaribu kupuuza maneno ya watu wa Mungu .
lowasa hawezi kupita mkuu.......
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Hashim Rungwe nae analeta mafuriko kila anapoenda.
Mwingira hajawahi kukosea katika utabiri wowote ule..... Nazidi kuamini Ukawa wanachukua Nchi
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Huyu ana kesi ya kupiga mimba mke wa mtu na kudhulumu viwanja leo naye yupo hapa anabwabwaja. Na Waislamu wameingiaje katika uchaguzi huu. Wana mgombea?
lowasa hawezi kupita mkuu.......
wakristo, waislamu,wapagani tutamchagua lowassa.
Kuna watu wanna Amini kuwa Ikulu ...rais lazima awe mkristo mkatoliki au Muislamu Sunni ..ndio theory ninazosikia Mitaaani
Mimi nitafurahi kuwa tusiangalie dini ...dhehebu Kabila ..wala nini ...