Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Umenifurahisha kweli mzazi. Eti mwaka UHU. Halafu tena eti "Na HIKAWA hivyo..." Wakuache kwa raha zako na Eddo wako bana. Na HIKAWE hivyo hivyo tu!haya ni mambo ya kawaidatu. Najua jambo hili linawaumiza sana watu wa ccm. Hawapendi kusikia mambo haya.
Tb joshua. Alitabiri uchaguzi wa kenya. Na hikawa hivyo, akatabiri na uchaguzi wa nchi yake nigeria na hikawa hivyo hivyo.
Na hata hapa kwetu alishatabiri juu ya lowassa kuchukua nchi mwaka uhu. Sasa wanaobisha tukutane baada ya uchaguzi.
Lowasa amenajisi nyumba za ibada
Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Umenifurahisha kweli mzazi. Eti mwaka UHU. Halafu tena eti "Na HIKAWA hivyo..." Wakuache kwa raha zako na Eddo wako bana. Na HIKAWE hivyo hivyo tu!
Ni kweli CHADEMA ni chama cha wakristo hata Babu Duni Haji kabatizwa siku hizi anaitwa Babu Ezekiel Duni haaa haaa.
Kwahiyo ukisikia kwa wajinga na wewe unaingia kwenye kundi la wajinga.Ni kweli mkuu hata mimi hizi theory nimesikia sana..
Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
Hata walutheri wanaweza kuwa walokole; Lowasa ni mlokole - ameokolewa toka dhambini CCMs na alikiri kwa kinywa, Yesu kristo amemuokoa toka mikononi mwa shetanii.. CCMs.Why awataje waislam wakati wagombea wawili powerful hakuna muislam?
halafu ana wa group waisla na wakatoliki kundi moja...why?
Na why washabiki wa Lowassa wanaamini Lowassa ni mlokole wakati yeye anasema ni mlutheri?
Hivi idadi ya hawa walokole na waprotestant wapo wangapi nchini? Kwa upande wangu naamini Waislam na Wakatoliki ndo wengi zaidi
Ni kweli CHADEMA ni chama cha wakristo hata Babu Duni Haji kabatizwa siku hizi anaitwa Babu Ezekiel Duni haaa haaa.
Kumbe ni dili la walokole wameungana na waprotestanti? Shughuli mwaka huu; na tuone kama kura zao zitatosha
Dr Slaa alisema maaskofu wamenunuliwa na Lowassa mkataka ushahidi..haya ushahidi ndi huu sijui mnataka nini kingine...Na ndugu zangu wa chadema mkiitwa ni chama cha wakristo sijui bado mtakataa.
Askofu Josephat Mwingira asema Raisi wa awamu ya tano atatoka nje ya madhehebu ya katoliki na uislam.
Pia askofu huyo mwenye makanisa kila pande ya nchi na wafuasi lukuki aliendelea kusema kwamba uongozi wa Raisi huyo utakuwa na nguvu sana na atabadilisha mambo mengi kwa kipindi kifupi sana (Maono kutoka mbinguni)
Akiri za kuambiwa changanya na za kwako ..Lengo ni mabadiliko.
jisikilizie mwenyewe Audio hii nime attach hapo wanajamvi