Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Sahih hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anajua kuwachota akili manyumbu wake.
Na ashawajulia manyumbu wake wanapenda MIHEMKO ya kupinga ushoga bila kutumia akili, basi na kenyewe kakapiga kambi humo humo.

Manyumbu yanapiga makofi huku yanaibiwa! Na mwakani anastaafu anamuachia mwanae kiti cha Urais.

Uganda the Dynasty!!! Kalaghabao!!
 
Acha kabisa kulichafua kanisa, kwenye ushoga na ulawiti ni mambo ya mtu au watu na siyo Kanisa.
 
Ndugu utapigania familia yako wakati walimu nao wamo? Watoto shule na mtaani wamo? Utapeleka watoto Kanisa nako wamo? Hiyo familia utaifungia ndani tu? Hakuna cha kupigania familia ni kupigania Taifa lisiingie huko, likiingia na kuwa huru utashtuka siku mwanao nae anajitangaza anakuletea na mchumba wa jinsia moja!

Hili ni swala la kitaifa na sio mzaha maana kasi yake ni kubwa na wakipata nguvu zaidi watadai uhuru, watakuwa na viti maalum bungeni, itakuwa worse worse worse!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 

Ushoga una madhara gani kwenye jamii,toa mfano wa madhara hayo.
 
Vyombo vya habari huko Ulaya hasa Ulaya Magharibi na Marekani ni mawakala wa shetani na hawalitaki Kanisa Katoliki kwa sababu lina misingi yake thabiti na misimamo isiyoyumbishwa ndiyo maana wanatumia muda mwingi kulichafua Kanisa.
Kuna report ya FBI imevuja ikichunguza Wakatoliki wanaotetea misingi ya asili ya Kanisa! FBI wanawaita "Extremists Catholics"

Kanisa likisimama kwenye misingi tutabadili ulimwengu otherwise kuyumba kwake matokeo ndio haya.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ushoga una madhara gani kwenye jamii,toa mfano wa madhara hayo.
Ushoga ni dhambi,ushoga ni uchafu,ushoga ni uhuni,kama ng'ombe,punda,kuku,hata bata hawafanyi ushoga kasoro tu nguruwe ambaye ni mnyama mchafu kuliko wote na mbuzi ambaye amepungukiwa akili pia ana mkia mfupi kuliko wanyama wote,hivyo mtu anayefagilia ushoga ni nguruwe na pia ni mbuzi na hata hao wanyama ni nafuu kwa sababu nyama yao inaliwa lakini shoga hana faida yoyote.
 
Hivi tukisema nchi ina tatizo la umeme maana yake hakuna tatizo la maji, afya kupo sawa, ulinzi upo n.k?

Kwani Marekani waliopitisha sheria za kuruhusu ndoa za mashoga wana shida gani? Maadili ni sehemu jambo mtambuka na unapopambana na mambo mengine huwezi kuvua mambo ya maadili hadi umalize matatizo yako.

Hapa tunazungumzia ushoga, hayo mengine fungulia uzi wake tuje kujadili.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…