TikTok2021
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 690
- 1,060
kaunga mkono kauli ya Ruto hajamnyoshea yeyote kidoleSawa mkuu. Ishu hapa ni huyo Ruwaichi asafishe nyumba yake kwanza kabla ya kunyooshea vidole wengine.
Ushoga ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo ushoga ni ngono kinyume na maumbile. Kupambana na ushoga ni kupambana na ngono.Huwa mnakuwa wepesi sana kushambulia bila tafakuri,wewe ktk maisha yako yote ulishawahi kuwaza kwamba kuna siku Tanzania itatokea ushoga kufanywa hadharani hadi na watu kama askari kuonekana wakifurahia uume za wanaume wenzao?
Hata hapo unapohisi hawapo hawa watu wapo tukatae wote bila kuangalia nani ni nani.
Alikuwa anasubiri nini siku zote hadi Ruto ang’ake?kaunga mkono kauli ya Ruto hajamnyoshea yeyote kidole
elimu elimu elimu
uelewa mdogo(extensive low IQ) kwa watu wengi ni janga la Taifa
msiwe wakurupukaji mkiwa hamjaelewa jambo
Unasapoti ujinga na ushoga?.Bosi hanuniwi.
Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga. Ruto atamke lakini asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.
Familia zimesahau majukumu.
WaarabuKwa nini ushoga ni mwingi pwani maeneo ambayo uislam unatamalaki kuliko maeneo yaliyoshamiri Ukristo?
kabla hujawa ex ushawahi kuufugwa?acha upotoshaji wewe,chuki na wivu tu umekujaa huna loloteAnasubiri nini siku zote hadi Ruto ang’ake?
Kanisa katoliki, huo ndio ukweli hakuna kuchafua hapa. Nikilichafua napata faida gani ?Acha kabisa kulichafua kanisa, kwenye ushoga na ulawiti ni mambo ya mtu au watu na siyo Kanisa.
Ili asafishe lazima uchafu uwepo, lete huo uchafu jimbo kwake ili uone kama hatasafisha. BTW kusafisha si wajibu wa Askofu tu bali kila mtu.Sawa mkuu. Ishu hapa ni huyo Ruwaichi asafishe nyumba yake kwanza kabla ya kunyooshea vidole wengine.
Kama papa mkuu alikiri kuwa alifumbia macho swala hilo wakati wa utawala wake ili kuficha aibu ya kanisa huyu mtu ana akili timamu kweli au muharibifu wa jamii ?Ili asafishe lazima uchafu uwepo, lete huo uchafu jimbo kwake ili uone kama hatasafisha. BTW kusafisha si wajibu wa Askofu tu bali kila mtu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Papa mkuu ndio nani? Kuficha uhalifu ni uhalifu na uhalifu hauna sura wala dini!Kama papa mkuu alikiri kuwa alifumbia macho swala hilo wakati wa utawala wake ili kuficha aibu ya kanisa huyu mtu ana akili timamu kweli au muharibifu wa jamii ?
Basi Ruwaichi aanze kusafisha kwanza kanisa katoliki la Roma.Papa mkuu ndio nani? Kuficha uhalifu ni uhalifu na uhalifu hauna sura wala dini!
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Anapaswa kusafisha jamii inayozalisha mashoga ambao ndio wanaenda kuwa waalimu, Polisi, Mapadre, Mashehe, wachungaji n.kBasi Ruwaichi aanze kusafisha kwanza kanisa katoliki la Roma.
achaneni na habari za vijiwe vya kahawaBasi Ruwaichi aanze kusafisha kwanza kanisa katoliki la Roma.
Kwa sababu limesemwa kanisa na viongozi wake ?achaneni na habari za vijiwe vya kahawa
wafuasi wa mwanamama ellen mna shida sanaKwa sababu limesemwa kanisa na viongozi wake ?
Dini/imani ina tabia ya kumfanya mtu kuwa kiziwi,kipofu na bubu kwa mambo yasiyo furahisha nafsi yake.
: Akili/Rangi
Lissu mbona hawezi kukemea na anaunga mkono? Anasema hiyo ni faragha mambo ya chumbani?Wapo viongozi wakubwa serikalini wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ushoga na usagaji. Mchawi hawezi kukemea uchawi na swala dini ni ghiriba tu
Kwa sababu ya kusema ukweli ?wafuasi wa mwanamama ellen mna shida sana
Siyo kweli kabisa tatizo lako unachukulia mambo juu juu.Kanisa katoliki, huo ndio ukweli hakuna kuchafua hapa. Nikilichafua napata faida gani ?
Wajirekebishe kila siku papa ana lia lia kuhusu hilo swala.
Imani isikufanye kuwa kipofu,kiziwi na bubu kwa yale yasiyo furahisha nafsi yako.