Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Askofu Ruwaichi amuunga mkono Rais Ruto kupinga Ushoga hadharani!

Sawa mkuu. Ishu hapa ni huyo Ruwaichi asafishe nyumba yake kwanza kabla ya kunyooshea vidole wengine.
kaunga mkono kauli ya Ruto hajamnyoshea yeyote kidole

elimu elimu elimu

uelewa mdogo(extensive low IQ) kwa watu wengi ni janga la Taifa

msiwe wakurupukaji mkiwa hamjaelewa jambo
 
Huwa mnakuwa wepesi sana kushambulia bila tafakuri,wewe ktk maisha yako yote ulishawahi kuwaza kwamba kuna siku Tanzania itatokea ushoga kufanywa hadharani hadi na watu kama askari kuonekana wakifurahia uume za wanaume wenzao?

Hata hapo unapohisi hawapo hawa watu wapo tukatae wote bila kuangalia nani ni nani.
Ushoga ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo ushoga ni ngono kinyume na maumbile. Kupambana na ushoga ni kupambana na ngono.

Je, inawezekana kupambana na ngono ? Tafakari alafu chukua hatua.

Sasa kuna simu janja na ukuaji mkubwa wa teknolojia si ajabu kwa haya yanayo endelea.

: Akili/Rangi
 
kaunga mkono kauli ya Ruto hajamnyoshea yeyote kidole

elimu elimu elimu

uelewa mdogo(extensive low IQ) kwa watu wengi ni janga la Taifa

msiwe wakurupukaji mkiwa hamjaelewa jambo
Alikuwa anasubiri nini siku zote hadi Ruto ang’ake?
 
Bosi hanuniwi.

Wakizuia arv na mafuta kwa mwezi mmoja tu, mawaziri wote wanageuka kuwa mabalozi wa ushoga. Ruto atamke lakini asitekeleze tamko, akianza kuwanyanyasa al shabab wanaanza kukinukisha.

Familia zimesahau majukumu.
Unasapoti ujinga na ushoga?.
 
Acha kabisa kulichafua kanisa, kwenye ushoga na ulawiti ni mambo ya mtu au watu na siyo Kanisa.
Kanisa katoliki, huo ndio ukweli hakuna kuchafua hapa. Nikilichafua napata faida gani ?

Wajirekebishe kila siku papa ana lia lia kuhusu hilo swala.

Imani isikufanye kuwa kipofu,kiziwi na bubu kwa yale yasiyo furahisha nafsi yako.
 
Ili asafishe lazima uchafu uwepo, lete huo uchafu jimbo kwake ili uone kama hatasafisha. BTW kusafisha si wajibu wa Askofu tu bali kila mtu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kama papa mkuu alikiri kuwa alifumbia macho swala hilo wakati wa utawala wake ili kuficha aibu ya kanisa huyu mtu ana akili timamu kweli au muharibifu wa jamii ?
 
Kama papa mkuu alikiri kuwa alifumbia macho swala hilo wakati wa utawala wake ili kuficha aibu ya kanisa huyu mtu ana akili timamu kweli au muharibifu wa jamii ?
Papa mkuu ndio nani? Kuficha uhalifu ni uhalifu na uhalifu hauna sura wala dini!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
achaneni na habari za vijiwe vya kahawa
Kwa sababu limesemwa kanisa na viongozi wake ?

Dini/imani ina tabia ya kumfanya mtu kuwa kiziwi,kipofu na bubu kwa mambo yasiyo furahisha nafsi yake.

: Akili/Rangi
 
Kwa sababu limesemwa kanisa na viongozi wake ?

Dini/imani ina tabia ya kumfanya mtu kuwa kiziwi,kipofu na bubu kwa mambo yasiyo furahisha nafsi yake.

: Akili/Rangi
wafuasi wa mwanamama ellen mna shida sana
 
Wapo viongozi wakubwa serikalini wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ushoga na usagaji. Mchawi hawezi kukemea uchawi na swala dini ni ghiriba tu
Lissu mbona hawezi kukemea na anaunga mkono? Anasema hiyo ni faragha mambo ya chumbani?
 
Kanisa katoliki, huo ndio ukweli hakuna kuchafua hapa. Nikilichafua napata faida gani ?

Wajirekebishe kila siku papa ana lia lia kuhusu hilo swala.

Imani isikufanye kuwa kipofu,kiziwi na bubu kwa yale yasiyo furahisha nafsi yako.
Siyo kweli kabisa tatizo lako unachukulia mambo juu juu.
 
Hawa ndio visababishi vya ushoga.
1-SINGLE MOTHER'S :hawa wanachangia malezi mabovu ya mtoto utakuta mtoto wa kiume anapakwa wanja,lip stick wao wanafurahi tu wanaona kawaida.

2-BOARDING SCHOOL:kuanzia kindergarten-primary school...hizi shule ni viwanda vya kuzalisha mashoga mtoto ana miaka 5 mpaka 13 unampeleka boarding ili iweje? Umri huo ndio umri sahihi wa mtoto kuwa pamoja na wazazi muda wote wote kupata malezi stahiki.

Boarding ni maalumu kwa secondary tu.

3:MALEZI: mtoto wa kiume usimlee kimayai mlee kikatili peleka shamba, lima bustani, chota maji, pikia mbwa chakula, safisha mabanda ya kuku lisha kuku, kama upo ktk ujenzi mwambie amwagilie maji matofali kila siku mfanye mwanao awe busy kila muda.usimlee mtoto kimayai inatakiwa ajione tofauti na mwanamke.

4-USWAHILINI:Halina ubishi uku ndio mashoga wanapozalishwa kwa kasi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom