Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
Kwenda kanisani ni uovu?Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
acha kujibizana na apparatus ya kusafishia mikundu ya watawalaAskofu kasema nini ambacho kinakufanya umuone mwovu?
Mkuu, wala sijibizani.acha kujibizana na apparatus ya kuoshea mikundu ya watawala
Hatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupuMnaojaribu kupambana na kanisa katoliki kaeni chini msome na mtafakari historia na muundo wake. Ukimunist ilianguka huko ukata mashariki kwa kujaribu kupigana na kanisa katoliki, kanisa lina mizizi dunia nzima, hadi umoja wa mtaifa lina mwakilishi wa kudumu. Sasa wewe chawa wa Samia na keyboard yako ya simu ya mkopo utaweza?
Unapotetea Kwa kuua watu ovvyo ndo watumishi wa mungu wenu?Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
Huo ni Uswahilli na Udini ndio unaokusumbuaHatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupu
Unawasumbua TEC syoHuo ni Uswahilli na Udini ndio unaokusumbua
uko sahihi 100% gentleman,Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno.
Ni sheria ipi ambayo wanavunja? Maana uzi mzima ni mamalamiko yaliyo baseless hayana msingi hata ulalamikia niniHatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupu
Jiulize kwanin huo ujinga unafanywa na maaskofu wa kikatoliki tu?Hii nchi ina baadhi ya watu wenye akili ndogo na ndio hao huwa wanapotosha viongozi wetu. Kama mimi ningekuwa kiongozi wa serikali ningewaunga mkono katoliki na ningewaomba viongozi wa dini nyingine wafuate mfano wao. Kwa sababu watu wakienda makanisani na misikitini kwa wingi siku hiyo itaondoa kabisa au itapunguza idadi ya watu wenye mtizamo wa kufanya maandamano. Kwa sababu sitaki kuamini kuwa mtu atakayeenda kanisani au msikitini siku hiyo akapta neno la Mungu vizuri halafu aandamane.
Na sio siri kuwa ni kweli watu walikufa kwenye maandamano na kati yao waliokufa wapo waamini wa kanisa katoliki na kanisa katoliki linaamini katika kuwaombea wafu sasa hapo tatizo linatoka wapi. Na kila mtu kwa imani yake au nafsi yake huwa anafanya ibada ya kukumbuka na kuenzi ndugu zake waliotangulia mbele za haki kwa kufanya ibada kadiri anavyoona yeye mwenyewe inavyofaa.
Kama kuna kiongozi yoyote wa dini akithibitika kutumia mwanya huo kuhamsisha maandamano basi akamatwe yeye kama yeye na achukuliwe hatua yeye binafsi badala ya kukaa tu kutunga uongo kuwa dini fulani inataka kuleta vurugu. Hebu wakati mwingine tuwe positive ili kuondoa taharuki zisizo na msingi.
Ni mtizamo tu.
Wewe msengenini nenda kwa basha wako huko mtoto wa kiume unakuaje na lugha ya hivi bwabwaniniHuwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno kuona askofu anahubiri uchochezi, kuona askofu anachochea vurugu aisee so painful 😭😭😭