Si kweli, watu waliambiwa wabaki kazini kwako yy alikuwa anaenda wapi?Kweli umeamua kubwa zezeta Mkuu samahani lakini, madaktari na manesi waliendelea na kazi, maduka ya kuuza vyakula yaliamuliwa kufunguliwa na nadhani umesahau Katazo lilikuwa usionekane nje kuanzia saa 12 jioni, hao nazungumza wamepigwa risasi mchana wa saa 7 mpaka saa nane
Ila kwakuwa uko kutetea ugali endelea
Hata kubaka wamebaka sanaUki isoma matukio ya kanisa katoliki llipotoka na lilipo sasa, Hakuna taasisi ya kidini iliyo ua na kunyanyasa binadamu wengi kuliko katoliki.
Ipo mifano mingi Dunia nzima.
Kuna kazi nzuri waliwahi ifanya kwa kuwaletea watu elimu na kujenga vituo vya afya maeneo mengi Duniani ila kama kanisa Lina ajenda zake za hovyo na hatari kupita ustawi wa watu
Hivi unajua kuwa kanisa katoliki halimfanyii maombi mtu aliyekufa kwa kujinyonga?Kuna kitu ambacho sikuelewi unasema kanisa linapambana na sijui nani. KAZI ya kanisa ni kuhubiri injili ambapo ndani yake ni kukemea maovu yote Kwa yeyote bila kujaki cheo uraia au dhamana. Haki amani lazima vitawale pale maovu na waovu wanaposhindwa. Sasa kanisa kufanya hayo kwako ni kero? Hebu tuambie ukitaka aseme Nini kwenye mahubiri yake? Wapinzani wakitoa hoja kinzani Kwa sababu ndio KAZI Yao kutoa hoja mbadala inakuwa kero. Sasa unachotaka makanisa yaseme ni Nini?
Kuna mashekhe walizungumza mambo mabaya sana imekaa kimya? Unataka makasisi wafundishe hayo?
Taifa la MAFISADI lina USTAWI gani? kwanza mmemaliza zile B700 za El-Nino ya JOTO ya tangia Mwezi wa tano?Jambo linaathri ustawi wa Taifa letu lazima tukemee kama wazalendo wa Taifa letu
Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno kuona askofu anahubiri uchochezi, kuona askofu anachochea vurugu aisee so painful πππ
Wale wqliozikwa kwenye makaburi ya halaikii kule kondo hawakuwa watu? Amani Gani unapiga misamba kuihubiria bila haki??Huwa najiuliza hawa maaskofu wa TEC (katoliki) ni watumishi wa Mungu ukweli?
Mimi binafsi nasema hawa si watumishi wa Mungu ni watumishi wa shetani, hii inajidhihirisha kwa kauli zao wakiwa madhabuni kwakweli ni aibu Mno kuona askofu anahubiri uchochezi, kuona askofu anachochea vurugu aisee so painful πππ
Akili za kibongo hizi, ndo maana watu wanatumia hizo sifa za kanisa kutimiza matakwa yao binafsi. Wanatumia mwamvuli wa kanisa kuwasilisha hisia na mawazo yao binafsi. Huwezi kuchochea fujo, watu wakaumizwa halafu unatoka kujifanya una huzuni na umeumizwa baada ya malengo yako kutokutimia.Mnaojaribu kupambana na kanisa katoliki kaeni chini msome na mtafakari historia na muundo wake. Ukomunist ilianguka huko ulaya mashariki kwa kujaribu kupigana na kanisa katoliki, kanisa lina mizizi dunia nzima, hadi umoja wa mtaifa lina mwakilishi wa kudumu. Sasa wewe chawa wa Samia na keyboard yako ya simu ya mkopo utaweza?
Kwa kweli we ni mkuu ndugu yangu...Hao hao TEC mtu akijinyonga huwa hawaruhusu hata kumuingiza kanisani, vp HOA waliochoma na kuharibu Mali za watu, vip kuhusu hao walioharibu miundombinu yetu, vipi hao waliofanya watu wakafa kwa kukosa huduma za afya?
ππππacha kujibizana na apparatus ya kusafishia mikundu ya watawala
πππMnaojaribu kupambana na kanisa katoliki kaeni chini msome na mtafakari historia na muundo wake. Ukomunist ilianguka huko ulaya mashariki kwa kujaribu kupigana na kanisa katoliki, kanisa lina mizizi dunia nzima, hadi umoja wa mtaifa lina mwakilishi wa kudumu. Sasa wewe chawa wa Samia na keyboard yako ya simu ya mkopo utaweza?
Unaumwa kiseyeye...Hatupambani ila tunawaambia kuwa hayo wanayofanya wanajisumbua, sijawahi ona maaskofu wa kishetani kama Hawa, yani muda wote ni kuhubiri uchochezi tupu
Jambo linaathri ustawi wa Taifa letu lazima tukemee kama wazalendo wa Taifa letu
RubbishAkili za kibongo hizi, ndo maana watu wanatumia hizo sifa za kanisa kutimiza matakwa yao binafsi. Wanatumia mwamvuli wa kanisa kuwasilisha hisia na mawazo yao binafsi. Huwezi kuchochea fujo, watu wakaumizwa halafu unatoka kujifanya una huzuni na umeumizwa baada ya malengo yako kutokutimia.
Hata Rwanda ilikuwa hivyo, na watu walitumia mwamvuli wa kanisa kuua watu, mwisho wa siku Kanisa kupitia kwa Papa Francis waliomba msamaha kutokana matendo ya hovyo waliyofanya viongozi wa kanisa huko Rwanda. Tuache kutumia jina la kanisa vibaya, hayo mnayoyafanya hayana baraka za viongozi wa Vatican.
Historia haisahau ni ipo siku itawabua nyie na vizazi vyenu.
Kwani kujinyonga si maamuzi binafasi nao wanayaheshimu maamuzi yako.Hivi unajua kuwa kanisa katoliki halimfanyii maombi mtu aliyekufa kwa kujinyonga?
Kwani kujinyonga si maamuzi binafasi nao wanayaheshimu maamuzi yakoHivi unajua kuwa kanisa katoliki halimfanyii maombi mtu aliyekufa kwa kujinyonga?