Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

Kkkt wakiunga huu upuuzi nahama kanisa Hilo na kujinga na rc
 
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.

Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?

Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Aidha, Askofu anasema maoni yao kuhusu suala hilo walikwishayawasilisha kwa Rais katika ujumla wao walipopewa nafasi kuonana naye; na Rais akawaambia atayafanyia kazi. Inaonekana Rais hajawapa majibu vinginevyo angempongeza. Sasa hayo maoni yao ni Rais na Viongozi wa dini mbalimbali wanaoyafahamu. Huu unaona ndiyo ujumbe wenyewe .
 
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.

Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?

Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Huo ndo mtego ambao wajinga wengi hawajuelewa. Askofu kajibu kimtego no direct answer
 
Kwa hiyo ccm wanasema mkataba uko sawa ila raisi baada ya kuona maji shingoni kawakana kwamba mkataba una matatizo.
 
Kuna kichwa kimelemba uzi wa ovyo, kashindwa kutofautisha mkataba na uwekezaji..
 
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.

Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?

Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Wew mweny ufaham nikuulize

Kama viongoz wa dini walienda ikulu kupeleaka maoni yao WHY WATOE WALAKA KABLA YA KUJUA KAMA MAONI YAO YAMEFANYIWA KAZI AMA LAA?

I DECLARE HATA KAMA INGEKUA BAKWATA AU TAASISI YOYOTE YA DINI YA KIISLAM NINGEPINGANA NA WALAKA WAO
 
Kuna mtu alikuja na uzi wa kupotosha ili awe wakwanza,nashukuru Moderators walirekebisha.

Kinachoungwa mkono ni Uwekezaji wa bandari na sio mkataba wa DP world.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] BADO HAMJASEMA MPAKA MSEME
 
Huo ni mtego,Ndiyo maana hakusema kuwa anaunga mkono mkataba anaunga mkono uwekezaji
 
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.

Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?

Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Hawa walianza pamoja dini zote, kundi kubwa pamoja na Waislamu, wakaelezwa na Prifessor Mbarawa na timu yake weeeee tukadhani wameelewa. Msemaji wa siku ile Padri Katima, kada wa CHADEMA, akapemyeza ya kwake kuwasemea wenziye Mufti akagutu.

Wakasubiri Bunge, likaafiki. Wakaenda Mahakamani, wakatupwa. Hapo ndiyo Pd Kitima akaishiwa subira akawaacha wenziye akaja na Waraka wa dini moja akaona wenziye hawatukani vya kutosha. Akarudia yale yale yaliyofafanuliwa na Mbarawa au Mahakama. Pd Kitima ni RC kada wa CHADEMA ambacho ni Chama cha KKKT. Bila shaka wanamshangaa wanasubiri waone his next steps. Wakiona anawaharibia watamfix.
 
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.

Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?

Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Na hili mkalitazame...
 
Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
 
Back
Top Bottom