bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Pole sanaHuyu mama apite kushoto 2025. Hana uwezo wa kuongoza hili Taifa kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sanaHuyu mama apite kushoto 2025. Hana uwezo wa kuongoza hili Taifa kabisa.
Hiyo ndio imeendaNchi hii Wenye akili wamebaki upande mmoja. Kuna watu wanajaribu kumlisha maneno Dr Shoo.
Alikuwa na bifu ba Dkt Magufuli, so hana namna nyingine zaidi ya kuunga mkonoNaangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.
Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?
Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Alikuwa na bifu ba Dkt Magufuli, so hana namna nyingine zaidi ya kuunga mkono
Una maana kutuambia kwamba viongozi wa dini ndio walienda mahakamani?Hawa walianza pamoja dini zote, kundi kubwa pamoja na Waislamu, wakaelezwa na Prifessor Mbarawa na timu yake weeeee tukadhani wameelewa. Msemaji wa siku ile Padri Katima, kada wa CHADEMA, akapemyeza ya kwake kuwasemea wenziye Mufti akagutu. Wakasubiri Bunge, likaafiki. Wakaenda Mahakamani, wakatupwa. Hapo ndiyo Pd Kitima akaishiwa subira akawaacha wenziye akaja na Waraka wa dini moja akaona wenziye hawatukani vya kutosha. Akarudia yale yale yaliyofafanuliwa na Mbarawa au Mahakama. Pd Kitima ni RC kada wa CHADEMA ambacho ni Chama cha KKKT. Bila shaka wanamshangaa wanasubiri waone his next steps. Wakiona anawaharibia watamfix.
Lakini maoni yajibiwe😂 a serikali inayakwepa maoni na kurekebisha sheria ziendane na mkatabaUwekezaji ndio Mkataba
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.
Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?
Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Una maana kutuambia kwamba viongozi wa dini ndio walienda mahakamani?
Wewe .mpumbavu mmoja hivi unaijua nguvu ya TEC au unaongea as if unaongelea Yanga au Simba Sports Club?
Jitambue kwanza kabla ya kuelezea ujinga wako humu!
Na uondowe kubazi usoni ili uione Dunia kwa macho yako badala ya tumbo lako!
Na kisha uje na majibu ya hizi hoja hapa!
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Yaani tulipofikia, huyo mama atake asitake, DP World hawaji nchini.
Askofu Dk. Shoo kaongea kwa busara sana. Amesema waliishawahi kwenda Ikulu na mapendekezo yao wakiwemo TEC, BAKWATA na wao CCT. Akasema anaamini walichoshauri kitashughulikiwa na wakiona imeenda tofauti basi wao watatoa Waraka. Hao TEC wamekurupuka!
Binafsi niwashauri TEC. Wawe makini sana na Baba Padre Dk. Kitima. Alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo SAUT wakati nasoma pale 2006 - 2009. Ni mtu wa kukurupuka na kuongea kabla ya kufikiri. Hata wao Mababa Askofu wanalijua Hilo na wanajua pia ndio sababu ameshindwa kuupata Ubaba Askofu kutokana na hilo. Wawe makini asiwapotoshe!
Bakwata ni CCM Tamko la nini?Wew mweny ufaham nikuulize
Kama viongoz wa dini walienda ikulu kupeleaka maoni yao WHY WATOE WALAKA KABLA YA KUJUA KAMA MAONI YAO YAMEFANYIWA KAZI AMA LAA?
I DECLARE HATA KAMA INGEKUA BAKWATA AU TAASISI YOYOTE YA DINI YA KIISLAM NINGEPINGANA NA WALAKA WAO
Kwamba warabu wameilawiti serikali ya CCM?Inauma lakini mustahamili tu mutazoea Bandari ndio hiyo imeenda poleni sana
Mbona huyu hapa karipoti vingine?Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji.
Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono Mkataba! Rais naye anaongeza hakuna wa kutugawa! Nani kawagawa? Sema juu ya MKataba! Kuna kundi linaonekana kujawa furaha ya matumaini ya kuungwa mkonoi na KKKT! Hawajiulizi uwekezaji nani kaukataa?
Nionavyo KKKT na Katoliki wako pamoja. Katoliki wameenda mbali zaidi na kuukosoa mkataba kwa maandishi. Ninayo hisia kwamba siku chache zijazo baada ya rais kuwapisha jukwaa lao, KKT watakuja na msimamo halisi unaohusu Mkataba.
Naangalia umejiunga JF tangu 2014, lakini uandikaji wako ni kama kijana wa form2 kwa nini? Unaandika kama unazungumza na jilani. Kuna maneno ya kutumia wakati unaandika na kuna maneno kwa mazungumzo ya ana kwa ana!Wew mweny ufaham nikuulize
Kama viongoz wa dini walienda ikulu kupeleaka maoni yao WHY WATOE WALAKA KABLA YA KUJUA KAMA MAONI YAO YAMEFANYIWA KAZI AMA LAA?
I DECLARE HATA KAMA INGEKUA BAKWATA AU TAASISI YOYOTE YA DINI YA KIISLAM NINGEPINGANA NA WALAKA WAO
Unategemea nini kama mwandishi ni Rostam Aziz? au UVCCM? Wao wanasubili tu! Siku rais akisema mkataba utapitiwa, mara moja wanashangilia kwamba ni msikivu. Akitekeleza ilivyo, watasifia kwamba rais anaona mbali. Ni wale ambao husema A na B ni majibu sahihi.Mbona huyu hapa karipoti vingine?
Hebu pandisheni clip ili kila mmoja asikie kwa usahihi ni kitu gani kilichosemwa kuliko kila mmoja na censor maudhui ili kufurahisha bwana riziki.
Eti wajinga wengi isije kuwa wew ndo mjinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo ndo mtego ambao wajinga wengi hawajuelewa. Askofu kajibu kimtego no direct answer
BORA UMEWAFAFANULIANaangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji...