Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

Naomba niendelee kukufunza Kijana, TEC ina clerical justification kwa sababu wanachama wake wote ni waklero. Kwenye hao waklero Kuna Cardinal ambaye ana titular church kule Rome, na Rome Ina Askofu wake ambaye ni Papa. Umeona hio chain?

Usiwe Mjinga be well informed
 
Kumuelewa kunahitaji Akili nyingi..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna ubaya. Na, je! lazima niamini na kukubali?
Hapana, sio lazima uaamini au ukubali..

Lakini unadhani utakuwa ni mtu wa namna gani wewe unayeamini kuwa Kassimu Majaliwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza halafu akatokea mtu akakwambia kuwa, hapana huyo ni Waziri Mkuu wa JMT na wewe ukang'ang'ana kusema si lazima niamini wala kukubali hilo kwa sababu mimi najua Kassimu Majaliwa ni PM wa Uingereza..?

Haya. Akili kumkichwa. Tafakari hili kwa wakati wako.

Kwa heri, usiku mwema ndugu yangu
 
Kweli kumwelewa Shoo inahitaji akili sn
Hakuna Cha kuhitaji akili hapo...Askofu alikuwa wazi...anaunga mkono uwekezaji....serikali iwe tayari kukosolewa...tunavyokosoa msiseme tunachanganya dinina siasa ...amani na usalama wa nchi ni muhimu.
Shoo hajasema anaunga mkono mkataba wa DPWorld...
TEC wanaunga mkono uwekezaji
Ila kwenye bandari TEC wanasema kusiwe na mwekezaji mmoja
TEC wanapinga mkataba na uwekezaji wa DP World peke yao..
 
Wenye akili tumeelewa msimamo wake. Tunapokosoa tusiambiwe tunachanganya siasa na dini
 
Ni waraka siyo walaka unaandika kama umelewa au.kuvimbiwa kitimoto.
 
Sijui kama unanielewa au sijui kama unajua unaongelea TEC ipi! Mfumo wa Kanisa Katoliki upo hivi; Jumuiya, Kigango, Parokia, Dekania, Jimbo (la Kawaida au Kuu) na mwisho ni Vatican. Hata kama Padre kakosea, anaanzia Mahakama ya Jimbo (ambayo Hakimu wake ni Askofu! Ahahahahaha!!!) na Rufaa ni Vatican. Haya TEC ipo wapi hapo? Achana na mambo ya Ukardinali maana Kardinali HANA mamlaka yoyote kwa Askofu wa Jimbo. Kwahiyo simzungumzii hapa.
 
Dah! Mfano wako ni off point kabisa! Lakini naheshimu maoni yako! Ahahahahaha!!!
 
Hata show hajasema anataka DP world wapewe
 
Niliamuwa kunyamaza kimya na naendelea kunyamaza kimya.

Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili/
Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili.

Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuharibu amani na salama tuliojenga kwenye taifa hili.

Hayo itoshe kuwa ujumbe wangu kwenu. - mama Samia - KKkT Arusha 21/08/2023.

Kukuza kusimamia na kuenzi maadili yetu ni kazi ya kanisa.
 
Swala la uwekezaji sio mjadala Tena labda huko Korea kaskazini lkn hapa nchini hatuna hoja ya kukubali ama kupinga uwekezaji hapa hoja ni DUBAI PORTS WORLD kama mtu Hana hoja apige kimya ajadili mengine!!!
Waluteri wajadili kujenga na kusimamia shule zao vizuri nyingi zimedorora saaana na elimu haitolewi Kwa kiwango!
 
Serikali ingekuwa inafanyia kazi maoni usingemsikia Waziri Mabarawa akiitetea DPW,Usingewasikia akina Msando na wengine kuzunguka nchini nzima kuitetea DPW.Ukweli ni kuwa serikali ilishafunga TEC sio wajinga kuja na waraka.Lakini Kila Mmoja atafakari anafanya lolote kwa maslahi ya nani?Mimi binafsi nimefuatilia DPW na Djibouti NJ imegundua DPW ni impeliast company hivyo hupaswi kudeal nayo kwa hisia unshitaji utaalamu wa hali juu sana kudeal nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…