Askofu wa kanisa la Ufunuo ashutumu viongozi wa Kanisa Katoliki kwa kuingilia masuala ya siasa

Hiyo ufufuo sio ya Gwajima kweli??
Gwajima kwasabb ni mbunge wa ccm hawezi kutoka front mwenyewe anawatuma hawa chawa wake
Hapana sio Gwajima. Askofu Gwajima kwa akili zake hawezi kujiingiza kwenye mzozo na maaskofu. Kwasasa anazidi kulijua Kanisa pengine kuliko wakati mwingine.
 
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.

Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.

"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.

Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.

Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."

[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Huyu msenge ni mvuta bange
 
Hayo ni maoni yake hatutaki mambo ya dini kama mnajiamini piganeni sio mikwara kama watu wataaarabu ....Anaweza kuwa kahongwa ndo akasema hivyo sisi tunajuaje?
 
Maoni yao kama ni HURU bila kushinikizwa na CCM behind the scenes basi maoni yao tuyaheshimu
Sakata inahusu viongozi wa CCM kutokuwa waaminifu kwa mali za umma. Askofu hajawashitumu viongozi wa CCM wasio waaminifu, bali kawashitumu viongozi wa kanisa Katoliki 😂

Kuna cha kuwasikiliza hapo?
 
Kama huo ndio mtazamo wa Kanisa lao bila kushinikizwa basi tusiwabeze
 
Hii ndio ile tabia aliyoikemea Mchungaji lusekelo Mnataka TEC tu ndio waongee kwanini hamuheshimu wakristo wa madhehebu mengine?
 
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.

Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.

"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.

Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.

Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."

[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Huyo siyo kada wa chama cha mboga mboga kweli? Eti askofu mkuu!
Fedha za DPW kazini
 
Ndiyo shida ya hawa viongozi wa dini za kuunga unga, jadilini mkataka kama wenzenu.
Si ajabu hata hajui mkataba unazungumzia nini na vipengele vyake.
Ni kweli baadhi ya viongozi wa dini wanadhani kinachojadiliwa ni jengo.la msikiti au jengo la kanisa lililoko bandarini

Bandari sio msikiti wala kanisa

Bandari haina dini .wenye dini na wasio na dini wawe wahindu waislamu,wakristo, wapagani nk hutumia hiyo bandari

Kinachojadiliwa ni vipengele vilivyoko kwenye mkataba sio dini
Mkataba wa bandari sio mkataba wa kidini

Kujadili kidini ni upungufu wa akili uliopitiliza
 
ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.

Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.

"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.

Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.

Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."

[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Jina askofu liheshimiwe

Hakunaga askof Fala kama hawa wapuuzi
 
Mbinu chovu Sana za kujibu walaka wa TEC
 
😳 dah! Huyu Jamaa nae ni askofu?
Na hapo alikua anaongelea udini, siasa au dipi weldi?
 
Hovyo sana huyu
 
Back
Top Bottom