Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sio Gwajima. Askofu Gwajima kwa akili zake hawezi kujiingiza kwenye mzozo na maaskofu. Kwasasa anazidi kulijua Kanisa pengine kuliko wakati mwingine.Hiyo ufufuo sio ya Gwajima kweli??
Gwajima kwasabb ni mbunge wa ccm hawezi kutoka front mwenyewe anawatuma hawa chawa wake
Huyu msenge ni mvuta bangeASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Sakata inahusu viongozi wa CCM kutokuwa waaminifu kwa mali za umma. Askofu hajawashitumu viongozi wa CCM wasio waaminifu, bali kawashitumu viongozi wa kanisa Katoliki 😂Maoni yao kama ni HURU bila kushinikizwa na CCM behind the scenes basi maoni yao tuyaheshimu
Kama huo ndio mtazamo wa Kanisa lao bila kushinikizwa basi tusiwabezeSakata inahusu viongozi wa CCM kutokuwa waaminifu kwa mali za umma. Askofu hajawashitumu viongozi wa CCM wasio waaminifu, bali kawashitumu viongozi wa kanisa Katoliki 😂
Kuna cha kuwasikiliza hapo?
Inaulizia bwana akee na Zumaridi?Huyu bendera ndiye mchungaji wa yule demu wa mwanza anayejiita mungu zumaridi au siye?
Wapuz sanaHawa kweli wa kuhurumiwa baadala wajadili mkataba uliopingwa na TEC wao wanaushambulia ukatoliki.
Huyo siyo kada wa chama cha mboga mboga kweli? Eti askofu mkuu!ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Ni kweli baadhi ya viongozi wa dini wanadhani kinachojadiliwa ni jengo.la msikiti au jengo la kanisa lililoko bandariniNdiyo shida ya hawa viongozi wa dini za kuunga unga, jadilini mkataka kama wenzenu.
Si ajabu hata hajui mkataba unazungumzia nini na vipengele vyake.
Jina askofu liheshimiweASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Hizi dharau zenu kwa viongozi wengine wa Kikristo ndio zinawaponza.Jina askofu liheshimiwe
Hakunaga askof Fala kama hawa wapuuzi
Mbinu chovu Sana za kujibu walaka wa TECASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
😳 dah! Huyu Jamaa nae ni askofu?ASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.
Askofu Charles Fortunatus aliekuwa miongoni mwa Maaskofu hao amewashutumu viongozi wa dhehebu la Kikatoliki kwakile alichodai kuwa wao ndio wamekuwa chanzo cha vurugu kwenye maeneo mengi duniani kutokana na wao kuingilia masuala ya Siasa.
"...MUNGU aliziamini sana dini, Lakini hizi hizi dini zimekuwa wa kwanza kuleta mvurugo katika Dunia hii.
Bila kuogopa kwa sababu tupo kwenye tamko la Kiaskofu, Sisi Wakristo na Waislamu tunaelewana lakini kwenye Wakristo tumegawanyika madhehebu mengi lakini ukisikia Nchi nyingi zilizovurugika Duniani dini kuu Mama ambayo ni Katoliki imekuwa ya kwanza kuanzisha vurugu Duniani kila mahali.
Mimi niiombe Serikali waishauri Katholiki wasijiingize kwenye masuala ya Siasa,washikilie kwenye upande mmoja tu wa Dini."
[emoji2424] Askofu Charles FortunatusView attachment 2725068
Hovyo sana huyuASKOFU Mkuu wa Makanisa ya Ufunuo, Paul Bendera ameongoza jopo la Maaskofu 6 na kutoa tamko Sakata la Bandari.