Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,959
Reaction score
3,172
Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhusiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba, matractor, mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .

Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita, ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo.

Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea nina vitambulisho vya kupigia kura 31. Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣

Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa, siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi.

Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .
 
Akili za kimaskini sana hizi.
Ishi na zako zakitajiri then problem solved .

Zaidi ya nyumba tatu naacha kuzipangisha ili kuzifanya makazi ya wanafamily wangu , matractor nyangu yanatumika kuwalimia maeneo yako karibu hekari mbili kila mwanafamily kwa mchango wa mafuta tu Lita tano kwa heka ,michango ya wanafamily na mengineyo then wakapigie kura mauaji haya ,nasema nashikilia hapo hapo na uzuri wengi wao wamenielewa tena bila kelele .
 
Hata 2020 kuna watu walisema hivyo...haisaidii chochote 🐼
 
Kwa hudhuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokakana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao ,kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhuwiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba , matractor ,mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .

Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita ,ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo .

Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea ninavitanbulisho vya kupigia kura 31 ,Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣

Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa ,siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi .

Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .
Wategemezi walio wengi hawahitaji maelekezo ya ziada. Wakishajua umesimama upande gani, hiyo imetoka. Kaulimbiu yao ni moja tu: “Alipo Benefactor Wetu, Nasi Tupo”!
 
Kwa hudhuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokakana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao ,kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhuwiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba , matractor ,mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .

Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita ,ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo .

Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea ninavitanbulisho vya kupigia kura 31 ,Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣

Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa ,siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi .

Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .

Umefanya vema sana.

Mimi niliwaambia ndugu zangu, ndugu upande wa mke, kundi langu la watu zaidi ya 300 ninalloli-support katika matatizo mbalimbali kuwa kamwe yeyote asishiriki uchaguzi bandia wa kwenda kuhalalisha uovu. Kushiriki uchaguzi bandia huu ina maana ni kuunga mkono vitendo vya kuteka na kuwaua watu, kuteka na kuwapoteza watu, kuwabambikia watu kesi. Kwa ujumla ni kwenda kuunga mkono ushetani wa aina mbalimbali unaotendeka na watawala dhidi ya wananchi wasio na hatia. Bila shinikizo, wote tunakubaliana kuwa kushiriki uchaguzi huu bandia ni kushiriki dhambi, ni sawa na kushiriki kuwaua ndugu zako, kuwaua watanzania wenzako, wlkuwaua wanafamilia wako, na hata kujitengenezea mazingira ya wewe mwenyewe kuuawa, kama wewe ni mtu unayependa haki. Nafarijika kuwa wote ninaohusiana nao, hakuna atakayeshiriki huo uovu.
 
Kila mtu akifanikiwa kuongeza uthibiti kutoka kwenye himaya yake hata maandamano hayakuwa na sababu tena .

Yaani hadi watakaokuja wanataka kwenda kupiga kura wenyewe tu watakuwa wanaona haibu
 
Matajiri wa JF mna mbwembwe sana 😂

Sasa kama hii ishu inahusu wanafamilia wako na unaowasaidia, sisi huku JF unatuletea ili iweje, au kuna mmoja wapo yupo humu JF unamfikishia hii taarifa kimafumbo?
 
Matajiri wa JF mna mbwembwe sana 😂

Sasa kama hii ishu inahusu wanafamilia wako na unaowasaidia, sisi huku JF unatuletea ili iweje, au kuna mmoja wapo yupo humu JF unamfikishia hii taarifa kimafumbo?
Mtaji siyo mbwembwe , pengine bado hujakutwa na yanayowakuta wengine .

Anyway ....
Umesikia huko mwakahuu hadi lessen zimeruhusiwa kupigia kura 🤣🤣

msimamo uko pale pale ,ole wake akutwe hata mmoja wao kwenye kituo cha kura mamamamaaaeee
 
Ishi na zako zakitajiri then problem solved .

Zaidi ya nyumba tatu naacha kuzipangisha ili kuzifanya makazi ya wanafamily wangu , matractor nyangu yanatumika kuwalimia maeneo yako karibu hekari mbili kila mwanafamily kwa mchango wa mafuta tu Lita tano kwa heka ,michango ya wanafamily na mengineyo then wakapigie kura mauaji haya ,nasema nashikilia hapo hapo na uzuri wengi wao wamenielewa tena bila kelele .
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom