G
guest-1790917349
Guest
Endelea kuota ndotoHata 2020 kuna watu walisema hivyo...haisaidii chochote 🐼
Unafikiri tupo 2020
Btw,yaani unaweza fananisha 2020 na ss?
Endelea kuota ndotoHata 2020 kuna watu walisema hivyo...haisaidii chochote 🐼
Exactly mi familya yangu ,yaani kuanzia baba,wadogo zangu wote wa ,na kwenye ukoo tuna captain ndo maana sipendi sn kuongea humu....wote lugha yetu moja hatupigi kuraWategemezi walio wengi hawahitaji maelekezo ya ziada. Wakishajua umesimama upande gani, hiyo imetoka. Kaulimbiu yao ni moja tu: “Alipo Benefactor Wetu, Nasi Tupo”!
Dingi makini sana huyo, Pepsi bariki kwake tafadhaliExactly mi familya yangu ,yaani kuanzia baba,wadogo zangu wote wa ,na kwenye ukoo tuna captain ndo maana sipendi sn kuongea humu....wote lugha yetu moja hatupigi kura
Baba angu ,ameajiri watumishi almost 17 hiv leo wote wananiambia hawaendi, hawstaki
Nikasema 👍
Tutafika tu
Haka ka keyboard warrior kameamua kujifariji kwa kujitungia stori ya uongo na kweli ili siku iende, sasa hii Nyumbu ndo uitegemee itatoeka siku ya maabdamano itakushangaza pale itakapokuachia vumbi
wewe unakaa kwa Shemeji yako ndio una tisha nani?Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhusiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba, matractor, mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .
Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita, ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo.
Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea nina vitambulisho vya kupigia kura 31. Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣
Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa, siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi.
Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .
Unadhani waliruhusu kutumia lessen bila kufanya utafiti?wewe unakaa kwa Shemeji yako ndio una tisha nani?
Sasa wewe hata hujapata madaraka na vimsaada vyako umeshageuka dikteta kwenye family, nilidhani unapigania haki na demokrasia lakini ni wazi vitendo vyako na unayopigania haviendani. Tabia ndogo ndogo ndio dalili za tabia za mtu ukubwani.Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhusiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba, matractor, mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .