Ishi na zako zakitajiri then problem solved .Akili za kimaskini sana hizi.
Wategemezi walio wengi hawahitaji maelekezo ya ziada. Wakishajua umesimama upande gani, hiyo imetoka. Kaulimbiu yao ni moja tu: “Alipo Benefactor Wetu, Nasi Tupo”!Kwa hudhuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokakana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao ,kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhuwiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba , matractor ,mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .
Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita ,ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo .
Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea ninavitanbulisho vya kupigia kura 31 ,Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣
Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa ,siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi .
Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .
Kwa hudhuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokakana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao ,kwa watoto wao waliyopo mashuleni na kwenye msimu wa kilimo hawataruhuwiwa kutumia chochote kilicho changu kama magari yanayowasaidia kuwapeleka shamba , matractor ,mifugo na wanaokaa kwenye nyumba zangu wahame .
Msimamo huu niliutoa wiki iliyopita ,ninashukuru na ndugu zangu wengine watano waliungana na mimi nao wakatangaza hivyo hivyo .
Kilichotokea ili kuonyesha usikivu wao kwetu hadi hapa ninavyoongea ninavitanbulisho vya kupigia kura 31 ,Dada yangu ana 9 Kaka mkubwa nae tayari ana 43 hadi cha Mwenyekiti wa Kijiji mwenye baiskel yake kabisa 🤣🤣🤣
Niseme ukweli tu kuwa wengi wa wanafamily yangu ni wanaccm tena wale kindakindaki kweli ila kwasasa moyo wangu umekataa ,siwezi kusaidia watu halafu hao watu wanaenda kuungamkono serikali iliyokosa usikivu na iliyojaa kiburi .
Kila mtu akiweza kumalizana na family yake nadhani 29 October kazi itakuwa nyepesi tu .
Hata 2020 kuna watu walisema hivyo...haisaidii chochote 🐼
Aiseeyametoa macho ,
Mtaji siyo mbwembwe , pengine bado hujakutwa na yanayowakuta wengine .Matajiri wa JF mna mbwembwe sana 😂
Sasa kama hii ishu inahusu wanafamilia wako na unaowasaidia, sisi huku JF unatuletea ili iweje, au kuna mmoja wapo yupo humu JF unamfikishia hii taarifa kimafumbo?
Naunga mkono hojaIshi na zako zakitajiri then problem solved .
Zaidi ya nyumba tatu naacha kuzipangisha ili kuzifanya makazi ya wanafamily wangu , matractor nyangu yanatumika kuwalimia maeneo yako karibu hekari mbili kila mwanafamily kwa mchango wa mafuta tu Lita tano kwa heka ,michango ya wanafamily na mengineyo then wakapigie kura mauaji haya ,nasema nashikilia hapo hapo na uzuri wengi wao wamenielewa tena bila kelele .
Exactly ndo hawa kila siku humuu ooh hakuna mtz wa kuandamanaWanadamu wasio na akili ni sawa na wanyama, wao huishi kwa kukariri, na siyo kwa analysis ya uhalisia wa kutegemea mazingira na nyakati.