Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

Kitaa kunanipa mzuka sana aisee ,tena mnoo .

Watu wamechafukwa ile kibandidu kiasi cha kuona 29_10 kama mbali hivii ..

Watu wanatembea vifua vikiwa vimevimba sana kwa hisia aisee .

Minaomba Mungu sana huyu Mama aendelee kukaza hivi hivi ili 29_10 afundishwe kwavitendo .

Tukiweza tu kukaza hadi saa nane mchana ngoma tumemalizana nayo hii maana baada ya giza nimwendo wa Sudani 👺👺
 
Wategemezi walio wengi hawahitaji maelekezo ya ziada. Wakishajua umesimama upande gani, hiyo imetoka. Kaulimbiu yao ni moja tu: “Alipo Benefactor Wetu, Nasi Tupo”!
Exactly mi familya yangu ,yaani kuanzia baba,wadogo zangu wote wa ,na kwenye ukoo tuna captain ndo maana sipendi sn kuongea humu....wote lugha yetu moja hatupigi kura

Baba angu ,ameajiri watumishi almost 17 hiv leo wote wananiambia hawaendi, hawstaki
Nikasema 👍
Tutafika tu
 
Dingi makini sana huyo, Pepsi bariki kwake tafadhali
 
Haka ka keyboard warrior kameamua kujifariji kwa kujitungia stori ya uongo na kweli ili siku iende, sasa hii Nyumbu ndo uitegemee itatoeka siku ya maabdamano itakushangaza pale itakapokuachia vumbi
 
Haka ka Keyboard warrior ndiyo mimi, siyo? Ooh! Okay
Haka ka keyboard warrior kameamua kujifariji kwa kujitungia stori ya uongo na kweli ili siku iende, sasa hii Nyumbu ndo uitegemee itatoeka siku ya maabdamano itakushangaza pale itakapokuachia vumbi
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Safi sana Mimi Kuna mmoja sisalimiani mm ae kabisa
 
wewe unakaa kwa Shemeji yako ndio una tisha nani?
 
wewe unakaa kwa Shemeji yako ndio una tisha nani?
Unadhani waliruhusu kutumia lessen bila kufanya utafiti?

Taarifa ziliwafikia na ndiyo maana wakachukua hatua na hilo zoezi halikufanywa namimi tu ,hiyo campaign ilifanywa na wengi wanaojitambua .

Mnaoishi kwa mashemeji ,Kaka mjomba na ma Brother wakutoka nao Kijiji kimoja mwakahuu lazima tuwakabie juu kondoo wa manyoya nyie .
 
Kwa sisi familia lalaa hoi hakuna aliyethubutu kutuonya Kila mtu ni utajua mwenyewe 😄
 
Sasa wewe hata hujapata madaraka na vimsaada vyako umeshageuka dikteta kwenye family, nilidhani unapigania haki na demokrasia lakini ni wazi vitendo vyako na unayopigania haviendani. Tabia ndogo ndogo ndio dalili za tabia za mtu ukubwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…