Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Atakayeandamana asiseme hakupewa tahadhari

Yeyote atakayeshiriki maandamano basi amejitoa sadaka Kwa vyombo. Asije kulaumu baadae.
Nyie na ndimi zenu ndio mtawaharibia bila kujua , Tanzania si kisiwa subiri watu waumizwe ukawasaidie ICC. Huwezi kuonea watu Jumuiya ya Kimataifa ikuache, hakuna National Sovereignty kwenye kuonea raia wasio na hatia, maandamano ya amani ni takwa la kisheria.
 
Mbowe awe mstari wa mbele, asijifiche alafu watu wanaumizwa yeye asije maandamano, maana Mbowe ndio katangaza maandamano, tahadhari kubwa ishatolewa, ni marufuku kuandamana bila kibali cha polisi, mtu mbabe aandamane hiyo kesho, kilio kitakuwa kikubwa sana
 
Kama kuna siku nitakuwa na furaha ni siku ambayo huyu mzee atapata anachostahili.
 
Sijui km kesho patakua na maandamano ila ..tu akili zangu zinaniambia kuna siku haina jina wala saa.. hakuna anae jua watu wataingia wenyewe barabarani bila hata kuambiwa na chama chochote.
Viongozi matumizi ya nguvu siku zote hua mwisho wake mbaya kama chadema wana hoja wasikilizeni hii nchi ni yetu sote machafuko yakija hata sisi tusio mashabiki wa vyama tutateseka wote maana hakutakalika tena si kwa chadema wala ccm na act.
Tuiweke Tanzania mbele tuache mabavu tunakoelekea si kuzuri hata kichaa tu anaona.
Tatizo Viongozi wa CCM wana hisi kwamba CHADEMA ni watu kutoka sehemu nyingine na sio raia wa Tanzania, wanasahau kwamba CHADEMA ni jina tu la chama ila watu ni wale wale ambao wanasali wote,wanalia wote misiba humo mitaani, wanakusanya kodi zao, nk
 
Tatizo kubwa la chadema ni kuendekeza ukabila kuwa wachagga haswa wa machame ndio cream ya nchi ,jamani hii nchi ina makbila zaidi ya 120 ,haitaka itokee hii saccos ikaongoza nchi yetu.NEVER
 
Back
Top Bottom