Inabidi tuwape masheikh maana wameweza kusimamia dini ya Allah, hiyo miradi haitawashinda.Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Wakina nani?Wanaoweza.
Ww ndio ulikaa kimya maana ulikuwa unajulikana na lile genge la dhalimu magu. Sisi huku jf tulikuwa tunapiga vibaya, Hadi dhalimu akatamani malaika washuke kuja kufunga mitandao.Wakati wa awamu ya tano nani alikuwa anasema zaidi ya msiba?
Wajomba zake.Wewe unataka apewe nani?
Shida yetu iko hapo chief,,, lkn sio kwamba watanzania hawana uwezo wa kuendesha hii miradi.Shida kila anaeshika anataka apige na asipopiga unaonekana Mjinga ubaya zaidi ni pale anapotokea boya mmoja anaetaka apige mara 5 zaidi ya aliemtangulia
Wamekwishakwambia Rais hana mamlaka ya kikatiba kuwafunga wanaozila hizo Pesa na yeye analijua hilo unataka nani awawajibishe?Chakufanya ni kitu kimoja tu,, ripoti ya cag ifanyiwe kazi, na matokeo ya kuwaadhibu wabadhirifu yaonekane,,, hakika baada ya hapo akili zitakaa sawa na matokeo chanya tutayaona
Kama kikwazo ni katiba basi tuifanyie ukarabati ili ikidhi mahitaji yetu ya sasa,,, kuna haja gani sasa ya kushindwa kuwajibishana kisa ni katiba?Wamekwishakwambia Rais hana mamlaka ya kikatiba kuwafunga wanaozila hizo Pesa na yeye analijua hilo unataka nani awawajibishe?
Tundu lisuWakati wa awamu ya tano nani alikuwa anasema zaidi ya msiba?
Full stop,na Sio kuteuana kiccm,ki nduguWaambie serikali mashirika yapate watendaji, bodi na menejiment zake kupitia usaili wa wazi, watu waombe hizo kazi na wapimwe kwa vigezo vinavyopimika..hizi sio zama za kuteua mtu kumpa fursa ajikimu! Hicho ulichosema wewe ni limbukeni ndio anafikiri ujinga wa aina hiyo wa kuwapa watu Mali yako wakutengenezee wewe umekunja nne barazani..zama hizo zilishapita kitambo.
Mbona haya mashirika watapewa waarabu mara baada ya ''uchaguzi'' wa 2025? Unasema kitu ambacho kimeshapangwa?Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Kitendo tu cha kuchukuwa bandari kinaonyesha sisi ni zaidi ya walemavu wa akili.Bandari kashachukua tayari sasa tumpe Reli na Ndege zetu atuendeshee Sisi walemavu wa akili?
Fafanua kidogo hapoKitendo tu cha kuchukuwa bandari kinaonyesha sisi ni zaidi ya walemavu wa akili.