ATCL, Reli ya Kati, TAZARA na SGR tuwape wanaoweza kuendesha kwa ufanisi mapema kabla ya kuumizwa

Wewe unaulizwa swali na wewe unauliza swali, hivi huko Chuoni Canada ulienda kujifunza ujinga?
Unajuwa kati ya ndege mpya 15 za ATC mpaka sasa, zinazoruka ngapi?
 
Halafu unajua unanipa maudhi nimekwambia jibu maswali yangu wewe unaniuliza maswali, huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
LAKINI laisi,wasili uchukuzi na kadogosa woote kiimani ni wenzetu alhamdulaa ustazati!!
Usikaslike... Kado gouder anajua kusifu na kuchawika fzuli Kwa lais na ukumbuke lais kawazidi wajermani Kwa akili eeh
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Sijahangaika kusoma bandiko lako ila kichwa cha habar tu nimeshiba

Sijui umeandika makitu gan ila naunga hoja mkono ni bora tungetafuta mwekezaji mapema ili tusije tukalia na kusaga meno
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Naunga mkono hizi reli zibinafsishwe. Ila kwa masharti kuwa kampuni zinazokuja ziwe na ubia na wazawa weusi.

....Kwani Mwarabu wa Dubei hana uzoefu wa kuendesha reli tumpe?
 
Walemavu ndio maana vinatushinda

Hv wewe unahis watanzania tuna akili timam?
Akili timamu za kuiba tu tunazo, Juzi kuna Mjinga mmoja alikua ananielekeza jinsi anavyoiba hadi nikashtuka
 
Halafu unajua unanipa maudhi nimekwambia jibu maswali yangu wewe unaniuliza maswali, huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Sasa mkuu we unamuuliza huyo kama nan na kwa mamlaka gan aliyonayo?

Inamaana hujui utaratibu unaotumika kumpata mwekezaji?

Hoja yake ni ya msingi sana tanzania hakuna tunachojua zaid ya ujunga ujinga

We si umemskia CAG kwenye hii report yake

Karibu mashirika yoooote ya serikali yanajiendesha kihasara

Sasa kunasababu gan ya mirad mikubwa kuendeshwa ma serikal?
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Tukishindwa tuwatangazie watu wa Dubai waje waendeshe yaelekea wanaweza
 
Kabisa tena.

Kama tulivyoshindwa kuendesha bandari wao wameshinda zabuni, nasikia na juzi wameshinda zabuni ya kuendesha BRT.

Una tatizo na watu wa Dubai?
 
Watu watazuia waibe mpaka dakika ya mwisho ndio apewe anaeeeza, mashirika yakiwa nyang'ànyang'a.

Watanzania tuna ujinga wa asili.
 
Ujinga ni wako wewe..tatizo mnalijua unageuza akili sabb ya dini yako.
 
Sasa mkuu we unamuuliza huyo kama nan na kwa mamlaka gan aliyonayo?

Inamaana hujui utaratibu unaotumika kumpata mwekezaji?

Hoja yake ni ya msingi sana tanzania hakuna tunachojua zaid ya ujunga ujinga

We si umemskia CAG kwenye hii report yake

Karibu mashirika yoooote ya serikali yanajiendesha kihasara

Sasa kunasababu gan ya mirad mikubwa kuendeshwa ma serikal?
Binafsisha kwanza familia yako km unadhani hiyo ndiyo njia bora kuleta Tija ya matatizo uliyo nayo..akili ya kuku kabisa.
 
Mmezoea sana ujamaa wa nyerere wakati yeye mwenyewe ulimshinda
Serikali sio kazi yake kufanya biashara, hio ni kazi ya sekta binafsi huku serikali ikijipatia mapato.
 
Tatizo letu wakipewa wageni kuendesha tunaanza kuwapiga majungu waondolewe ili tupewe sisi. Utasikia tunao wataalamu weengi wamesomea hayo , wana uwezo kuliko hao mliowaleta, na elimu zetu za UDSM, huwa tunajiita vipanga sijui first clas, mara upper second, tukipewa hatuna uwezo ,kila siku tunaomba kwenda kujifunza nje. Tukipewa sasa ndiyo hivyo tunajuana.

Haya mashirika viongozi watoke huko kwenye wataalam na uadilifu, sisi tujifunze kwao. Huu ubishi kujidai tunajua halafu tuna yaua kila siku hautusaidii in the long run.
 
Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.

Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?

Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.

ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.

Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.

Hivi lini tutapata akili?
Na wewe umo kwenye levo ya gawa gawa?
 
Back
Top Bottom