Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Wewe unaulizwa swali na wewe unauliza swali, hivi huko Chuoni Canada ulienda kujifunza ujinga?Kwani mchakato wa kuwapata hauujuwi? Au unafikiri watu wanapiga ramli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaulizwa swali na wewe unauliza swali, hivi huko Chuoni Canada ulienda kujifunza ujinga?Kwani mchakato wa kuwapata hauujuwi? Au unafikiri watu wanapiga ramli?
Halafu unajua unanipa maudhi nimekwambia jibu maswali yangu wewe unaniuliza maswali, huko shuleni ulienda kusomea ujinga?Unajuwa kati ya ndege mpya 15 za ATC mpaka sasa, zinazoruka ngapi?
LissuWakati wa awamu ya tano nani alikuwa anasema zaidi ya msiba?
LAKINI laisi,wasili uchukuzi na kadogosa woote kiimani ni wenzetu alhamdulaa ustazati!!Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Sijahangaika kusoma bandiko lako ila kichwa cha habar tu nimeshibaKuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Naunga mkono hizi reli zibinafsishwe. Ila kwa masharti kuwa kampuni zinazokuja ziwe na ubia na wazawa weusi.Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Walemavu ndio maana vinatushindaBandari kashachukua tayari sasa tumpe Reli na Ndege zetu atuendeshee Sisi walemavu wa akili?
Umeandika point sana mkuuNaunga mkono hizi reli zibinafsishwe. Ila kwa masharti kuwa kampuni zinazokuja ziwe na ubia na wazawa weusi.
....Kwani Mwarabu wa Dubei hana uzoefu wa kuendesha reli tumpe?
Akili timamu za kuiba tu tunazo, Juzi kuna Mjinga mmoja alikua ananielekeza jinsi anavyoiba hadi nikashtukaWalemavu ndio maana vinatushinda
Hv wewe unahis watanzania tuna akili timam?
Sasa mkuu we unamuuliza huyo kama nan na kwa mamlaka gan aliyonayo?Halafu unajua unanipa maudhi nimekwambia jibu maswali yangu wewe unaniuliza maswali, huko shuleni ulienda kusomea ujinga?
Tukishindwa tuwatangazie watu wa Dubai waje waendeshe yaelekea wanawezaKuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Kabisa tena.Tukishindwa tuwatangazie watu wa Dubai waje waendeshe yaelekea wanaweza
Ujinga ni wako wewe..tatizo mnalijua unageuza akili sabb ya dini yako.Watu watazuia waibe mpaka dakika ya mwisho ndio apewe anaeeeza, mashirika yakiwa nyang'ànyang'a.
Watanzania tuna ujinga wa asili.
Binafsisha kwanza familia yako km unadhani hiyo ndiyo njia bora kuleta Tija ya matatizo uliyo nayo..akili ya kuku kabisa.Sasa mkuu we unamuuliza huyo kama nan na kwa mamlaka gan aliyonayo?
Inamaana hujui utaratibu unaotumika kumpata mwekezaji?
Hoja yake ni ya msingi sana tanzania hakuna tunachojua zaid ya ujunga ujinga
We si umemskia CAG kwenye hii report yake
Karibu mashirika yoooote ya serikali yanajiendesha kihasara
Sasa kunasababu gan ya mirad mikubwa kuendeshwa ma serikal?
Na wewe umo kwenye levo ya gawa gawa?Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.