Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Acha uongo na upotoshaji, kama mabasi yanapata faida kwa kupakia abiria na kila siku wafanyabiashara wanaongeza mabasi kwa nini reli isipate faida??Wewe Kwa akili Yako unategemea hayo kukisekana kwenye public institution? DART inapata faida?
Mwisho,Kwa taarifa Yako tuu reli haiwezi pata faida Kwa kutegemea abiria tofauti na mzigo.
Na Kwa position ya Mwanza unadhani Kila kitu wanafuata au kuuza Dar wakati wako jirani na Uganda,Kenya na Nchi nyingine?
Masisitiza hakuna mzigo wa kuleta faida kwenye Sgr ,elewa Hilo maana 70% ya mzigo wa Dar Port unaenda DRC na Zambia ,1.5mln Rwanda Sasa huko Mwanza na Kigoma Kuna kipi Cha kubeba?
Yaani badala ya kufanya upembuzi yakinifu wa kibiashara nyie mlikuwa mnafanya maamuzi ya kujenga sgr Kwa hisia,ngoja muone moto kwanza ndio akili zitawajia.
Tunahitaji reli kwa ajili ya abiria na mizigo na vyote vina faida kama reli itaendeshwa kwa ufanisi.