Hakuna mtu anazaliwa mwizi au mvivu, utaratibu mbovu wa kupata wenye sifa na uwezo kwa kazi husika ndio umefanya watu wawe wezi na wavivu!Naunga mkono hoja. Watanzania ni wezi, wavivu na watu wa kuendekeza starehe.
Nyerere alianzisha mashirika 400 lakini yote yalkuwa dhoofu hali by 1995
Tunaongelea ufisadi au hujaelewa hata mada?Aliyeruhusu uchaguzi mkuu 2020 ukahabiriwa na kuwa chanzo cha haya madhira tuliyo nayo ni nani? Ni rostam au bashe? Yuko wapi sasa..
Kwenye uchaguzi hakuna ufisadi?Tunaongelea ufisadi au hujaelewa hata mada?
Sijui kama unaelewaKwenye uchaguzi hakuna ufisadi?
Rudia kusoma post #132 na #141 utajua ninaelewa au sielewiSijui kama unaelewa
Poa mkuuRudia kusoma post #132 na #141 utajua ninaelewa au sielewi
Toka tupate uhuru hakuna shirika la umma linaloendeshwa na Watanzania likawa na mafanikio, tu wajinga wa hali ya juu.Tanzania Kuna vyuo vikuu vinne. Ina maana vyote hivi haviwezi kutoa watu wanaoweza kuendesha mashirika ya umma kwa ufanisi????
.DART....UOZO
NHIF....USHUZI
TANOIL.....UOZO
TANESCO.....KABURI
DAWASCO.....MAJANGA
NA BAADHI YA VYUO BIKUU VYA MICHONGO ......AJALI
Toka tupate uhuru hakuna shirika la umma linaloendeshwa na Watanzania likawa na mafanikio, tu wajinga wa hali ya juu.
Nyerere aliambiwa hakutaka kusikia. Aliambiwa kusema vbitu ni mali ya umma ni kosa kubwa sana kiuchumi, hakuelewa.Hakuna mtu anazaliwa mwizi au mvivu, utaratibu mbovu wa kupata wenye sifa na uwezo kwa kazi husika ndio umefanya watu wawe wezi na wavivu!
Hivi mashrika yanaoingiza pesa nyinyi yanakufaje?Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Apewe kaka Yako RostaKuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Soma kichwa cha habari uielewe mada.
Hivi hata wewe unawalalamikia maccm wenzako??Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Lugha kali lakini ujumbe una mashiko. Ni bora wakabidhiwe akina "ROSTAM, MENGI, MO DEWJI, BAKHRESSA, SHIGONGO", n.k., lakini siyo watumishi wa Serikali!Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Shida ya watu ambao wapo kwenye mfumo wanamawazo kama yako.Kuwawachia Watanzania waendeshe nashirika hayo makubwa ni ujinga uliokithiri.
Hivi hatuelewi mashirika hayo yaliuliwa na kina nani mpaka kuwa chali?
Tumeona mwendokasi imetushinda kuendesha na sio kwa mara ya kwanza.
ATC tuliiuwa na sasa ipo njiani kuuliwa tena.
Reli ya kati na TAZARA hatujajifunza tu? Sasa tunarudia makosa yaleyale, tunawakabidhi SGR wauwaji.
Hivi lini tutapata akili?
Tulianza kujitegemea kuanzia wakati wa Nyerere mpaka leo tunashindwa. Kila tunachokianzisha au tulichokikuta tukikifanya kwa "kujitegemea" kinashindwa.Shida ya watu ambao wapo kwenye mfumo wanamawazo kama yako.
Niambie wewe kwanini tusijitegemee. Yani kila kitu tushikiwe kwani shule tulienda kufanya nini?
Kama kunawatanzania wanaweza kuendesha kwanini tusiwaachie? Matokeo yake tunakuja kuanza kulalamika kuwa Ajira hamna wakati wanapewa wageni🙌