Hakuna mtu anazaliwa mwizi au mvivu, utaratibu mbovu wa kupata wenye sifa na uwezo kwa kazi husika ndio umefanya watu wawe wezi na wavivu!Naunga mkono hoja. Watanzania ni wezi, wavivu na watu wa kuendekeza starehe.
Nyerere alianzisha mashirika 400 lakini yote yalkuwa dhoofu hali by 1995