Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Unapingana na ukweli kwani jiji la dar lina mpangilio gani? Wakati vurugu tupuu... Sasa wewe hueleweki Mara unasema hayupo Mara yupo Mara hujui ndo nn sasa
Enhee hata wanaosema Mungu yupo kwasababu ulimwengu umepangiliwa inabidi uwaonyesge hii.
Mimi naona dar imepangiliwa kwasababu nikitaka kupanda daladala najua ni wapi pa kwenda na nikitaka kwenda sokoni najua ni kariakoo.,nikitaka kucheza mziki au kula malaya najua ni wapi pa kwenda kupata hiyo huduma kwakuwa kuna mpangilio fulani wa hizo huduma..Lakini weee unaona hamna mpangilio kwasababu ukiona mafuriko yanavyosomba watu, barabara zisivyopangiliwa,huduma kiwa mbali mbali na usafiri kuwa wa tabu.

Hata watu wanaosema ulimwengu umepangiliwa kwasababu kila kitu kina kazi yake kama kazi ya mti ilivyo kuzaa matunda,hawajui kuna sehemu kubwa tu ya ulimwengu ni chaos tu isiyo na mpangilio, kuna blackholes, kuna Mafuriko, kuna vimbunga,matetemeko,Tsunami,Volcanoes,Vita,Machafuko na vitu vingi random tu ambavyo havina mpangilio wowote na havina kazi yoyote.

Hata wewe ukiamka ukaenda kazini.,je watu unaokutana nao kuanzia konda wa daladala mpaka Muuza duka uliponunulia vocha,,vitu unavyofanya je vimepangiliwa au ni randomly tu na vinabafilika kila siku bila mpangilio wowote???

Jibu ni ndiyo na hapana.
Inaonyesha kuwa mpangilio sio fundamental na wala sio ishu kubwa ya kuthibitisha uwepo wa uumbaji/muumbaji
 
You are right , if you believe it .

Ipo hivi , heaven ina exist endapo kweli unaamini kuwa ina exist ,
Hell ina exist endapo kama unaamini ina exist

Kama huamini uwepo wa Hell , then it is true hakuna hell.

Kama unaamini kula pork ni dhambi, then ni kweli kula pork ni dhambi.

Kama unaamini kula pork sio dhambi, then ni kweli kula nguruwe sio dhambi.

The moral ni kwamba there is no universal truth , Haya mambo yanategemea na culture conditioning na moral development ulizopitia.
It make sense undoubtedly
 
Hoja yako nyepesi eti kwa kuwa kitu hakionekani basi hakipo. Laki kwa kuwa ni wewe anayebisha uwepo wa Mungu, kazi ya kutoa ushahidi inakwangukia mwenyewe. Hivi vilivyopo vinatokea wapi? Kama vitu vilitokea kwenye "big bang", hivyo vilivyogongana vimetokea wapi? Kazi ya kurudi nyuma unayo wewe Sisi tumeshamaliza kazi, ukirudi nyuma na kurudi na kurudi utafika kwenye uwepo wa Mungu ambao sisi tunautafsiri kwa hivi tuvionavyo. Kwetu sisi hivi vitu vyenye mpangilio wenye akili haviwezi kuanzia kwenye bahati nasibu wala ajali. Bahati nasibu haiwezi kuwa na akili na nidhamu kama iliyopo ulimwengu seuze ajali.
Ukianzia Kwa Mungu huwezi kurudi nyumba!? What kind of the science is this?
 
Yap, Hiyo context ya shark &Camel inamaanisha kwamba... Ni ngumu sana kumuonyesha Shark uthibitisho wa uwepo wa Ngamia ingawa ni kweli Ngamia yupo.
Unajua shark hata ukimwambia Namba 7 inaexist hawezi kuelewa kama inaexist…unajua kwanini??kwasababu huyo ni shark 😁..Huwezi kumwambia chochote akakuelewa. Naomba tuwe realistic
Je, inawezekana Systems na physical Laws zote zinazotawala Ulimwengu huu uliyodumu miaka na miaka,... Zimetokea tu from nowhere,bila kupangiliwa na Yeyote au Chochote?

1. Kama jibu ni Yes vimetokea tu bila kupangiliwa na Yeyote au Chochote...basi Mungu hayupo?
Inawezekana jibu likawa yes…Lakini bado Mungu akawepo aliyetengeneza ulimwengu mwingine sio huu maana hatuna uhakika kama huu tunaoishi ni wa pekee.
2. Lakini kama jibu ni NO,... Means kuna Creator aliye initiate kila kitu.
Bado hatujui kila kitu…tunajua sehem ndogo sana ya huu ulimwengu na hatuwezi kuitumia hiyo sehemu kuhitimishia kuhusu kila kitu. Huenda hii sehemu ya ulimwengu ikawa created na Mungu lakini zikawepo sehemu zingine na ulimwengu zingine zenye miungu wengine au zisizo na Mungu kabisa.
Mfano, tunaweza kujiuliza JICHO LA BINADAMU lilivyo na sehemu lilipo kwenye mwili wa binadamu na components zake zote na Uwezo wake wa kutambua rangi mbalimbali,... Je limetokea tu bila ujuzi wowote kutumika(Does a human eye with its features exist without any Knowledge to design it?)

so, hapo ni Imani na akili inabidi zitumike Ili kupima na kujua unasimamia wapi.
Kwanza unatakiwa ujue kuwa binadamu tumekuja juzi tu na tumeikuta dunia…Yani dunia na miti imekuwepo mamilioni ya miaka kabla binadamu hatujakuwepo.. na jicho lime kuwepo kabla hata ya binadamu maana Samaki,Ndege,Nyoka,
Kwahyo sisi na macho yetu, vichwa utumbo tumetokea juzi tu baada ya kukuta vitu vingi vikiwepo.
Dunia na kila kitu havikutokea ndani ya siku moja kama unavyodhani.. Ni process ndefu iliyochukua mamilioni ya miaka ambayo ukiiangalia kwa mda mfupi unaoishi inaweza ikaonekana kama ilitengenezwa kwa designer siku moja lakini kumbe ni matokeo ya trial and error kibao za evolution kupitia natural selection na survival of the fittest.
Hii video jamaa anaelezea jinsi jicho lilivyokuja kutokea kwa viumbehttps://youtu.be/2X1iwLqM2t0
NOTE: IMANI&AKILI ZITUMIKE..... MIMI NAONA UWEPO WA MUNGU HAUHITAJI HATA KUSOMA SANA HATA LAYMAN AKIAMUA KUTUMIA AKILI YAKE ATAJUA TU KAMA KANGAROO 🦘 NA MFUKO WAKE ANAOTUMIA KUWEKEA WATOTO WAKE(OFFSPRINGS) HASA WAKATI WA BARIDI UMEKUA DESIGNED NA DESIGNER. ☠️
Layman ataelewa hivyo kwakuwa ameambiwa hivyo tokea mdogo anahubiriwa habari za mungu…Lakini mtu atakayekua bila kusikia habari za Mungu ataona habari za Mungu ni kama Ideas za kijinga sana
 
Wanasayansi wanaoamini kuhusu mungu wanadai kuwa kutokuwepo kwabushahidi kuhusu kuwepo kwa mungu haimaanish kuwa hayupo. Hili inawezekena kuwa kweli Kwa uzoef wangu Toka nimpende amadala sijawahi kuonyesha chochote. So nitoe rai kuwa hata kama haoni dalli yoyote upendo bado upooo
 
Ni kweli, lakini pia haimaanishi automaltically yupo.

As a matter of fact kutokuwepo kwa ushahidi kunatakiwa kuashiria kwa kiasi kikubwa (ingawa sio 100%) kuwa mungu hayupo.
 
Wanasayansi wanaoamini kuhusu mungu wanadai kuwa kutokuwepo kwabushahidi kuhusu kuwepo kwa mungu haimaanish kuwa hayupo. Hili inawezekena kuwa kweli Kwa uzoef wangu Toka nimpende amadala sijawahi kuonyesha chochote. So nitoe rai kuwa hata kama haoni dalli yoyote upendo bado upooo
Sir midabwada Leo umeona uniibukie sio😂
 
I don’t think this, ukisoma andiko langu utagundua kuwa I think quite the opposite of this.
I’m not like theists who think they know everything and don’t need to question anything

Wasn’t planning on that, but I guess this thread is a good start
Mokaze Mcqueenen Napenda sana malumbano yenu yalivyo na hoja nzito huchoki kufuatilia kila mtu anatoa point zake nzuri😍😍 ila kuna watu huwa wanependa kuharibu mijadala sasa mtu anakuja kusema kama yupo au ayupo wewe inakuuma nini unafahamu tu ni limtu la ovyo kiukweli nisiwe muongo huwa navutiwa na watu wanabishana KWA hoja mpaka unaona yes hivi vichwa wazazi walizaa
 
Hata Dini ndiyo wish kuwa Mungu yupo ili mama akifa na mimi nikifa tutakutana kwake.
Hapa ishu sio wishing kama Mungu awepo itakuaje au asipokuwepo itakuaje. Huyo ni sekondari ishu

Hapa tupo chini kabisa, tunawaza kama huyo Mungu yupo au hayupo?? Maana so far hatuna ushahidi wowote wa uwepo wale.

Kuna watu wanamuamini Mungu na wameua mamilioni ya watu baada ya kusali na kuamuru jeshi lao liue watu., Jihadist anaua watu huku akiamini Mungu yuko upande wake.
Sidhani kama Mungu anazuia binadamu kufanya mambo mabaya au hata sidhan kama anasaidia binadamu kufanya mambo mazuri.. kuna wapagani wengi tu ila wanafanya matendo mema kuliko watu wa dini.

Hata concept ya mungu na dini visingekuwepo duniani, binadamu tungeendelea kujenga miji,kupendana, kupigana,kuuana, kuzaliana.

Sema nadhani kuuana kungepungua kwasababu vita vingi huwa vya dini.

Dont be delusional
Kiini cha mwisho cha misingi ya mambo yote duniani ni 'NAFSI' kuiridhisha nafsi, binadamu kwa asili yake hulisha nafsi kuliko chochote kile.

Narudia tena, The so called Atheist hawataki kusikia kuhusu Scripture, yaani holy writs. Kwa sababu, zina control nafsi.

Mungu ni tofauti na dini. Dini sio Mungu, hapa hatuzungumzii Paganism, bali atheism. Kuhusu dini ilienea vipi, hilo ni suala la kitaasisi, dini ni utamaduni. Kwa taarifa yako kama unadhani Jihads na Crusades zilipigania Mungu unajidanganya. Jihads zimetokana na kulisha NAFSI, utamaduni mmoja wa namna ya kuratibu imani kujiona bora kuliko mwingine. Hiyo ni DINI.

Rudi kwenye Mungu, unaniambia nikupe ushahidi ambao huuamini? Watu wanakwambia Wana Amini. Wewe unataka ushahidi wa Kulisha na kutosheleza macho yako. Unarudi kule kule 'Feeding the self' hutoki zaidi ya hapo. Kuamini ni kuwa na hakika. Ukiniambia kuhusu shuhuda hautazipokea, kwa sababu mbali na kulisha macho yako no far pace you can make.

Watu wanatamani Mungu asingekuwapo, ili watosheleze nafsi zao, ni pamoja na hao wanaodai kueneza dini kwa mtutu na vita. Hakuna MUNGU ilitaka hivyo, vita ilikuwa ni Battle of Civilizations.

Kuhusu binadamu kutenda mema haina uhusiano na kuamini ama kutoamini, binadamu ni Mamlaka, weren't robots ama algorithms. Kutenda ama kutotenda mema ni maamuzi yetu, ila MUNGU ayataka mema. Huyu Mungu ndiye amezuia tusizini, kuzini technically kunalisha nafsi ya mtu, TUSIUE, vivyo hivyo, tusishuhudie uongo, tusiishi bila mpangilio wa siku (fanya ibada), usiibe mali isiyo yako, wala kutamani mke wa mwenzio) asingekuwapo Mungu.

Atheism ni uthibitisho wa namna Binadamu amezidiwa na Mamlaka yake, na amekuwa mtumwa wa uhuru wake.

Again, DON'T BE FOOLED.
 
Unajua shark hata ukimwambia Namba 7 inaexist hawezi kuelewa kama inaexist…unajua kwanini??kwasababu huyo ni shark 😁..Huwezi kumwambia chochote akakuelewa. Naomba tuwe realistic

Inawezekana jibu likawa yes…Lakini bado Mungu akawepo aliyetengeneza ulimwengu mwingine sio huu maana hatuna uhakika kama huu tunaoishi ni wa pekee.

Bado hatujui kila kitu…tunajua sehem ndogo sana ya huu ulimwengu na hatuwezi kuitumia hiyo sehemu kuhitimishia kuhusu kila kitu. Huenda hii sehemu ya ulimwengu ikawa created na Mungu lakini zikawepo sehemu zingine na ulimwengu zingine zenye miungu wengine au zisizo na Mungu kabisa.

Kwanza unatakiwa ujue kuwa binadamu tumekuja juzi tu na tumeikuta dunia…Yani dunia na miti imekuwepo mamilioni ya miaka kabla binadamu hatujakuwepo.. na jicho lime kuwepo kabla hata ya binadamu maana Samaki,Ndege,Nyoka,
Kwahyo sisi na macho yetu, vichwa utumbo tumetokea juzi tu baada ya kukuta vitu vingi vikiwepo.
Dunia na kila kitu havikutokea ndani ya siku moja kama unavyodhani.. Ni process ndefu iliyochukua mamilioni ya miaka ambayo ukiiangalia kwa mda mfupi unaoishi inaweza ikaonekana kama ilitengenezwa kwa designer siku moja lakini kumbe ni matokeo ya trial and error kibao za evolution kupitia natural selection na survival of the fittest.
Hii video jamaa anaelezea jinsi jicho lilivyokuja kutokea kwa viumbehttps://youtu.be/2X1iwLqM2t0

Layman ataelewa hivyo kwakuwa ameambiwa hivyo tokea mdogo anahubiriwa habari za mungu…Lakini mtu atakayekua bila kusikia habari za Mungu ataona habari za Mungu ni kama Ideas za kijinga sana
Shida ni kwamba unaona anaeamini habari za Mungu ni mjinga,... WaKati huo wewe unaamini habari za Evolution Theory.

Evolution Theory ni Imani kubwa kuliko hata Imani ya kuamini Mungu.

Mfano, kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Viumbe wote duniani wametokana na Ancestor mmoja. Lakini Evolution Theory haina uthibitisho wowote hata fossils za huyo Ancestor hazipo bali wanatumia Imani kuamini hivyo.

Lakini pia Ukisema sisi binadamu tulikuta viumbe wengine tayari Wana exist tena wakiwa na macho,... Swali la kujiuliza (Je, hayo macho ya Viumbe wengine kama Samaki yanahusiana vipi na macho ya Binadamu mpaka ujaribu kufanya comparison?., )

Kwenye hiyo Link Richard Dawkins anachoelezea ame base kwenye assumptions na siyo 100% kwamba Viumbe wa mwanzo millions of years ago walikua hawana macho(mind you,.. hakuna binadamu anaweza aka elezea exactly how mambo yalikua hiyo Miaka Millioni iliyopita unless awe informed na Yoyote ambaye aliweza kuwepo kuanzia Ulimwengu unaanza)

NB:- Ni Bora Imani kwamba Kuna Creator who designed &brought all things into Existence...... Kuliko Imani kwamba Ulimwengu na viumbe ulitokea accidentally by chance from nowhere through natural selection.
 
Enhee hata wanaosema Mungu yupo kwasababu ulimwengu umepangiliwa inabidi uwaonyesge hii.
Mimi naona dar imepangiliwa kwasababu nikitaka kupanda daladala najua ni wapi pa kwenda na nikitaka kwenda sokoni najua ni kariakoo.,nikitaka kucheza mziki au kula malaya najua ni wapi pa kwenda kupata hiyo huduma kwakuwa kuna mpangilio fulani wa hizo huduma..Lakini weee unaona hamna mpangilio kwasababu ukiona mafuriko yanavyosomba watu, barabara zisivyopangiliwa,huduma kiwa mbali mbali na usafiri kuwa wa tabu.

Hata watu wanaosema ulimwengu umepangiliwa kwasababu kila kitu kina kazi yake kama kazi ya mti ilivyo kuzaa matunda,hawajui kuna sehemu kubwa tu ya ulimwengu ni chaos tu isiyo na mpangilio, kuna blackholes, kuna Mafuriko, kuna vimbunga,matetemeko,Tsunami,Volcanoes,Vita,Machafuko na vitu vingi random tu ambavyo havina mpangilio wowote na havina kazi yoyote.

Hata wewe ukiamka ukaenda kazini.,je watu unaokutana nao kuanzia konda wa daladala mpaka Muuza duka uliponunulia vocha,,vitu unavyofanya je vimepangiliwa au ni randomly tu na vinabafilika kila siku bila mpangilio wowote???

Jibu ni ndiyo na hapana.
Inaonyesha kuwa mpangilio sio fundamental na wala sio ishu kubwa ya kuthibitisha uwepo wa uumbaji/muumbaji
Ila ubishi wenu niwakijinga sana sasa kama darslam imepangiliwa haijajipanga sasa kwann tusiamini dunia pia ilipangiliwa? Nakuambia kuwa huenda ubishi wetu huu hauezi maliza huu utata kwasababu binadamu pia tupo kwenye mpangilio kuna ukomo wa kufanya vitu na kufikiri vitu, acha ubishi wakijinga aheri uamini yupo alafu ukienda umkose kuliko kuamini hahupo na ukaenda kumkuta. MUNGU YUPO KUBALI KATAAA NA UTAISHI NDANI YA MIPAKA YAKE DAIMA.
 
Shida ni kwamba unaona anaeamini habari za Mungu ni mjinga,... WaKati huo wewe unaamini habari za Evolution Theory.

Evolution Theory ni Imani kubwa kuliko hata Imani ya kuamini Mungu.

Mfano, kwa mujibu wa Evolutionary mechanism ni kwamba Viumbe wote duniani wametokana na Ancestor mmoja. Lakini Evolution Theory haina uthibitisho wowote hata fossils za huyo Ancestor hazipo bali wanatumia Imani kuamini hivyo.

Lakini pia Ukisema sisi binadamu tulikuta viumbe wengine tayari Wana exist tena wakiwa na macho,... Swali la kujiuliza (Je, hayo macho ya Viumbe wengine kama Samaki yanahusiana vipi na macho ya Binadamu mpaka ujaribu kufanya comparison?., )

Kwenye hiyo Link Richard Dawkins anachoelezea ame base kwenye assumptions na siyo 100% kwamba Viumbe wa mwanzo millions of years ago walikua hawana macho(mind you,.. hakuna binadamu anaweza aka elezea exactly how mambo yalikua hiyo Miaka Millioni iliyopita unless awe informed na Yoyote ambaye aliweza kuwepo kuanzia Ulimwengu unaanza)

NB:- Ni Bora Imani kwamba Kuna Creator who designed &brought all things into Existence...... Kuliko Imani kwamba Ulimwengu na viumbe ulitokea accidentally by chance from nowhere through natural selection.
People don't want to stand that theories are just well explained beliefs.

pita hapa. You will find out.

Kuniambia kwamba Fossils za Pale Olduvai Gorge ni za Kundi la Australopithecus kama Afarensis na neanderthals halafu waliishi 4 Billions years back kwa sababu ati, kipimo cha Isotopes za Carbon 14 kimesema hivyo.

[emoji23][emoji23][emoji23] Tumefanywa kuwa wajinga halali.

Halafu ukija kwenye asili ya dunia ndio utacheka, usiombe kujifunza kuhusu Fission theory. Mambo ya kuniambia Mwezi ulitoka baharini, halafu unaniambia It's just theory. Damn!
 
Mimi na Mungu iko hivi..
Huwa mimi na yeye Tunazungumza.
Namuuliza swali ananijibu, ananimbiaga hapendi nini na anapenda nini na kuna vitu kanipa na kuna vitu kaniahidi atanipa.

Sifa yake kubwa yeye ndie kaniumba. na Kaumba dunia yote na ulimwengu.
Mungu kaumbwa na nani? Katokea wapi?
 
Back
Top Bottom