ATM ya kwanza ya maziwa yazinduliwa Moshi Mjini

Hiyo sio ATM Machine bali inaitwa Vendor machine, ambayo unanunua bidhaa kwa kiwango cha unacho weza lipia
 
Aiseee kumbe hiyo nayo ni ajabu!!!
Hapo Kenya zimejaa karibu kila mtaa!!!
Hahaaaah nimecheka mno.
 
We vipi, yaani unauliza glasi ya maji moshi....we utakuwa msukuma wewe.....Moshi hakunaga shida ya maji bwege we we.. .Kuhusu maji wenzio walishamaliza toka enzi za mkoloni
 

Kwa sauti ya chini kabisa alisikika Mchaga mmoja akijisifu na kuwatusi akina Shija.
 
We vipi, yaani unauliza glasi ya maji moshi....we utakuwa msukuma wewe.....Moshi hakunaga shida ya maji bwege we we.. .Kuhusu maji wenzio walishamaliza toka enzi za mkoloni
kuna shida ya maziwa ?, au wauzaji wa maziwa ?..., Fikiria nje ya Box..., moja ni tatizo ambalo linahitaji solution na jingine ni solution ambayo kulikuwa hakuna tatizo...., Tatizo la maji safi na salama sio la Moshi tu au Tanzania ni Dunia nzima...
 
Vending Machine za condom mara nyingi utazikuta kwenye vyoo vya bar na clubs
 
Usalama na ubora wa maziwa ukoje?

Kama maziwa yamekaa wiki utajuaje
 
Yani kuna comment zinashangaza na kufikirisha Sana! Yani Mtu aweke sumu au uchafu kwenye maziwa? Ama kweli kwenye wengi pana mengi! Sikujua Kama kuna sehemu watu wana ustaarabu wa kishamba hivyo hadi kufanya hayo.

Anyway, Tanzania ni kubwa sana. Na inaelekea wengi wanafungua maji tu bombani ila hawajui catchment area za maji wanayotumia bombani ziko vipi. Mungu atunusuru kama bado kuna watu Wenye mawazo primitive kama hayo.
Acha ujinga hicho ni chakula cha binadamu wanaoweka upupu kwenye maji vyoo vya umma wanatoka mwenzini? Huo mradi ni wa ufahari ila hauna umuhimu wowote.
 
Aisee
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Leo amezindua viboko mashuleni...
 
TBL na SBL nao wangeweka ATM zao kila mtaa nahisi baa,pub na grocery zingepungua
 


Kwa jinsi watanzania tulivyo lazima hiyo biashara itaingia dosari kutokana na uzembe na kutojali masharti ya uendeshaji wa biashara za namna hiyo, siyo ajabu kuona siku moja haifanyi kazi imebaki kama maonyesho, siyo ajabu siku moja kuona watu wametumbukiza vijiti badala ya fedha, siyo ajabu kuona siku moja kuona imehujumiwa kwa namna yoyote ile kwakuwa inareplace human labour, tukumbuke zilivyohujumiwa mashine za stamp miaka ile
 
Yaani hayo mapungufu yoooote unayoyaona kwanini wewe usi-take chance ukapiga hela/ukanufaisha jamii kutokana na mapungufu ya project hio?

Talk is cheap mkuu.
 
Wrong mentality! Inapokorofisha Atm ya fedha, unafanyaje?
 
Wkt Mbeya mkuu wao wa mkoa alizindua lift ya kwanza ndani ya mkoa huo mwaka 2015,mpk Mbeya waje wapate ATM ya maziwa itakua 2025 wkt huo Moshi kutakua kuna ATM za mbunye we ni kuchagua tu ya buku 5,buku 10 etc
Hahaha aisee ,unachagua tu iliyonyolewa au yenye rasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…