Gwajima akili yake sio nzuri.....asicheze na Pengo.Awatukane hao hao malofa wenzake.
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Mzinzi wa mke wa mtu nae ana power ya kumsema pengo ????mmmmh kweli ukistaajabu ya musa......
Unaweza ukawa na point nzuri sana lakini ukitumia wrong data lazima uonekane hata hiyo taarifa yako ni fake nakushauri jisumbue japo kidogo kujua muundo wa Kanisa katoliki.Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu.
Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Mimi naunga mkono kwa 100% kauli za Gwajima, lazima umpe mtu haki yake. Kwa nini hakuwaandikia maaskofu wenzake kutokubaliana na tamko lao badala yake anajipendekeza kwa watawala. Gwajima MUNGU akubariki endelea kutwanga injili ya kweli chongo iitwe chongo na kengeza iitwe kengeza.No! Hata kama Pengo alikosea katika kutoa tamko lake kamwe na haifai kuunga mkono kauli ya matusi aliyotumia Gwajima. Huo ni upotofu wa hali ya juu na matumizi mabaya ya Kitabu Kitakatifu cha Mwenyezi Mungu. Matusi hutolewa na walevi na wale waliopotoka na sio wale wanaojinasibu kuwa ni watumishi wa Mungu
Mbna kashacheza nae mkuu, asijeche nae vp sasa.
Nani aliekudanganya kuwa Pengo ni Mkuu wa Kanisa katoliki Tanzania?na je unafahamu kuwa Pengo yupo chini kimamlaka na Raisi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania,TEC?
Kumpongeza mtumishi wa Mungu anayetukana matusi mazito madhabahuni? Lazima atakuwa aliingiliwa na pepoMtu akiongea ukweli lazima apongezwe .
This is too much..
Ahsante sanaaaa GWAJIMAAAAAAAA, mpe vyake huyo kibaraka wa Kikwete, ameshashiba pesa za ESCROW anaropoka tuu. Mpe vyakeeeeeee, shenzi kabisa huyo Pengo.
Lugha aliyotumia Gwajima si ya kiongozi wa dini ni ya maruhuni wa vijiwe vya bangi.Kamtishia pengo.Pengo sio saizi ya Gwajima.Narudia Pengo sio saizi ya Gwajima.Mzee pengo yuko juu mno kwa Gwajima Iwe kimwili au kiroho au kwenye ile teknolojia anayotumia Gwajima.Amwombe msamaha Pengo haraka iwezekanavyo HADHARANI.
Mzee Pengo si wa kuchezewa na watoto wadogo kama Gwajima
Wanatamani makafiri (muwe makafiri) kama wao walivyokufuru ,ili wote muwe sawaa (ngoma iwe draw )
Kafir kafir tu hana pointi
Anajaribu kucheza na mtu ambaye si saizi yake.
msisahau kuwa Yesu aliwahi kumuita Herode "mbweha" na ikumbukwe herode alikuwa Mfalme wa Israel wakati huo. Pale Herode alipojaribu ku mess up na kazi ya Mungu aliitwa mbweha sembuse pengo.