Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Wapendwa wana JF naombeni Cv ya Mchungwaji Gwajima maana kwa mtazamo na uelewa wangu haya si maneno ya kusemwa na mchunga kondoo wa Mungu, kama ndo hivo basi hakuna haja ya kufuata makanisa ya namna hii yanayotumia maandiko matakatifu vibaya, na nafikiri dhehebu hili lafaa kuonywa kwa kiongozi wake kutumia madhabahu vibaya
 
...good pastor, open minded, halei majambazi, he always mean what he says....
 
Anamiliki Helicopter mbili na Waumini kibao... babako anazo? ... Pengo anayo?
 
Only in Africa: for Africa!!! Wazungu washatimka zamani, huku kwetu kilio na maombi ya kusaga meno! wezi majangili wanatoa sadaka zinazopokelewa kwa maombi ya kufa mtu ...
 
Huyu YESU ana kazi kweli kuitwa kwenye hiyo madhabau iliyotoa kichambo chote hicho
 

wewe ndio unakurupuka kama umeona nyoka kichakani...kwa akili zako za kigalatia unadhani maneno aliyotumia Gwajima kumjibu Pengo ni sahihi?!

kwa hiyo mtu akikosea inaruhusiwa kumkejeli na kumdharau badala ya kutoa maoni yako kwa njia nzuri na kwanza mambo ya kikatoliki yeye yanamuhusu nini wakati yeye ni mlokole?!

Namrudia tena na tena Pengo ni chizi na Gwajima ni Mwehu

#Zitto
 
Jamii forum,msiwe wa kukimbilia kutukana watu kwa msilojua.hii ni hatari kwa mtandao huu ambao umekuwepo,na kupitia misukosuko.wewe mchangiaji hujifichi.kuna siku utalipa matusi yako

kwenda zako huko usitishe watu hapa

#Zitto
 
Kwa hiyo kwa mfano wanaandika biblia nyingine kwa ajili ya wakristo na yy ataanza kuandika ya kwake tena ikiwa hakuikubali ya wenzake wengi na aitumie kwa wakristo hawahawa tena.

Mfano wako sio relevant katika inshu hii.
 
Ni mtu wa mungu kweli asiyetaka kondoo wapotee.Ni jembe,mchungaji wa kweli.
 
Nahisi ndugu zake Gwajima ni wengi, kama kweli unafahamu maana ya migogoro kwenye inchi usingeweza kushabikia haya!
 
Je Pengo kawaambia watu wapige kura ya ndio?

hajaikumbusha serikali kuacha kuwaambia watu wapige kura ya ndio? pengo angeitaka serikali iwashawishi watu wapige kura bila kuwataka wapige NDIO AU HAPANA, watu wajichagulie wenyewe
 
Duuuuh Naona sasa Mungu kawekwa pembeni kabisaaa..., Si pengo, Gwajima wala nani. Mh sijui tunakoelekea ni wapiii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…