Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Asante Gwajma nabii wa bwana, hakika we ni mtumishi kwel unayesimamia haki, kuanzia jumapili ijayo nitaanza rasmi kusali kanisani kwako maana nimeamini hapo upo utikufu mkubwa na nguvu za bwana,

Karibu katika Bonde la kukata maneno! Viwanja vya Tanganyika Packers!
 
Nihaki yake kutukanwa! Sisi hatumuabudu Pengo, na mimi pia namtukana .........
 

Amepata anachostahili
 
Usipotoshe ni makavu live! Acheni anywe dawa apone hata kama chungu!

Kwa mfumo wa kanisa ilivyo ...Huyo Pengine wala hajushughulishi kumjua Gwajima anasema ....nini ....,Gwajima saizi yake ni walinzi wa Kanisa ....yaani Mkatoliki yeyote aliyepata sakramenti ya Kipaimara ...Ndio level ya kujibishana nae ...Kama unavyoona hapa ...yeye wala HAJUI nini linaendelea ...labda magazeti yaandike ...Ndio atasoma
 


Alitukanwa Yesu atakua Pengo?

Huo muda poteza ukijiombea nafsi yako upate akili ya kutoabudu wanadamu wenzio Kama akina Pengo...

Mara ngapi umeombea au umeita wenzio kuombea janga la mauwaji ya albino yaishe?

Acha wafu wazike wafu wenzao...
 
mhhhh!!! Mleta mada pole. ila palipo na ukweli usemwe tu bila kugichaficha ila sio kwa matusi. nawatakieni jioni njema. Tumsifuni Yesu Kristu.
 
Mtoa mada unaanzisha vuguvugu la kidini ili iweje? Kwa kiongozi wa kanisa akipotoka hasahihishwi? Tafadhali sana, call spade a spade- not a big spoon!!!
 
Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana

We mwenyewe huna nafasi yoyote ndani Cdm, hata ujipendwkeze vp kama sio ukoo wa Mtei wewe ni wakutumiwa na wakikuchoka utaitwa msaliti.
 
Last edited by a moderator:
Asante Gwajma nabii wa bwana, hakika we ni mtumishi kwel unayesimamia haki, kuanzia jumapili ijayo nitaanza rasmi kusali kanisani kwako maana nimeamini hapo upo utikufu mkubwa na nguvu za bwana,
Huyu jamaa si ndo mlikuwa mnasema amemkarabati yule muimbaji wa nyimbo za injili hadi akaachana na mumewe?
 
Mleta mada nina shaka kama u-Mkatoliki. Wakatoliki wanajua Mwadhama Kardinali Pengo si Kiongozi wa Wakatoliki Tanzania. Jipange upya.
 

Goliath alijifanya mtu wa hadhi kubwa sana na mkuu wa majeshi na alikua hamfahamu Daudi hata Daudi aliposema nitakuchapa kwa kutukana majeshi ya Bwana alishangaa...
Alichapwa kipigo kimoja kitakatifu cha jiwe moja tu kutoka kwa mtu asiye na hadhi mchunga kondoo!
Someni biblia mfahamu utendaji wa Mungu!
 
Yuko sawa kwa VIPi ...Matusi Yale YANA uwepo wa Mungu au Msukule ????? Sio Yesu ..Alisema kuwa samehe Saba Mara Sabini ...ikiwa Kweli amekosa .....
Sio Yesu Alisema usihukumu?? Upofu huu ni ugonjwa gani !?.

Mkuu.
Umenukuu andiko ukalipachika mahala pasipo pake
Kuna vitu vya kusubiri hayo masabini yako. vitu vinavyohusu kanisa huwa havisubiriwi.
kumbuka wale watu walipofanya biashara kwenye sinagogi...
Alipindua pindua mameza yoote na kupeperusha manjiwa yao.
Tena kuna wakati niliwahi kuwaza kuwa lazima aliwakalipia sana.
sidhani kama aliyapindupindua kimya.
Je vipi kuhusu hili unasemaje mkuu??
Yesu pia alikosea?
 
hamna uthibitisho wa kuliwa kwa mke wa mtu na GWAJIMA...
FLORA amesema mahakamani hajawahi kumsaliti MBASHA na mtoto ni wa mbasha na yuko tayari kwa DNA test:ALIYESEMA HAYA WKT AKITOA USHAHIDI WA KESI YA MBASHA KUBAKA

Achana na huyo bush lawyer wa Lumumba manake yupo humu kutekeleza majukumu ya chama cha kinyonyaji
 
Nimesikiliza sana maneno ya gwajima. Napata shida kuamini kama kweli ni mtu wa Mungu. Watu wa Mungu wana busara. Ipo siku Mungu atasema kwa vitendo. Mungu amsamehe!.

Kweli!...mimi sijaona tofauti aliyoiweka ngwajima baada ya kusikiliza hiyo hotuba yake,Yaani ni sawa kumkosoa pengo, lakini sio kama vile mnapakana umbea!!..Yaani ni kama mabinti wanasutana hivi...Cha msingi ni kwamba Pengo kakosea,na kama ilivyo ada ya mwanadamu yoyote yule,ni vyema akaambiwa ukweli lakini sio kwa staili hii,alafu tunasingizia biblia na Yesu.
Watu wazima wanawekwa chini na kupewa facts wajirekebishe,lakini sio kutumia jukwaa la kanisa kupakana na kupondana kama tupo sokoni!
Nafikiri ifike kipindi tuache haya mambo ya kua hyper-sensitive.Mbaya zaidi hata yeye ngwajima kajishusha hadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…