Ilitakiwa wakatoliki wote wenye mapenzi mema na Pengo waandamane hadi kwake anaposalia gwajima kupinga kitendo cha kumtukana kiongozi wao.Pengo hakumwambia yeyote apige kura ya ndiyio au hapana kasema mtu awe huru.Hajamtukana Gwajima kisa cha Gwajima kuanza kumtukana ni nini?
Kama GWAJIMA anajitia jasiri kuna masheikh wametoa tamko kama alilotoa Pengo awatukane kama alivyotukana pengo aone Muziki utakaofuata toka kwa waislamu.Mwambieni kama yeye jasiri haogopi mtu amtukane kiongozi yeyote wa kiislamu awe wa BAKWATA au sio wa BAKWATA akione cha mtema kuni.
Wakatoliki kukubali kiongozi wenu kutukanwa vile na GWAJIMA mmeonyesha udhaifu mkubwa mno.Na nadhani katukana kusudi akijua kanisa katoliki la sasa ni la watu dhaifu wasio na mshikamano na wasioweza mfanya chochote.Natamani angetukana waislamu saa hii angekuwa ICU au mortuary.
Teh teh teh. Profile picture yako inadhihirisha waziwazi akili yako ilikoegemea!
Profile pic yangu inakuhusu nini? Umekosa vitu vya kuandika umekalia kuangalia profile pics za watu?
Unafikiri hapo ulipo unaakili timamu..??
Ni wapi Pengo kasema watu wapige kura ya Ndiyo....Hii mihemko mliyokuwa nayo kurukia mambo bila kusoma na kuelewa ni hatari mno..
Hakuna cha maana ulichokiandika,jifunze kutofautisha kati ya typing errors na logical fallacies.
hata akitukana Mufti hatafanywa kitu, sana sana akina kahtaan watamsifu ametukana sheikh wa Bakwata...
Leo wagalatia mnakamuana kinyesi hadaharani.
Gwajima anamuita PENGO MPUMBAVU na MPUUZI!
Mashati mnavutana nyie KONDOO msio na manyoa!
Teh teh teh teh!
Jamani Ukafiri Sanaa ya Ajabu!!
Duhh!
Kumbe watumish wa mungu ndo wanachamba hivyo. Yan utafikiri anaimba taarabu
Unadhani kanisa katoliki ni kama hivo vijikanisa vyenu, free will ata Mungu aliwapa adamu na eva, Mungu mwenyewe haingilii free will yako unajichagulia peponi au jehanamu. Nyie makanisa yenu koko ndio mmezoea kutoambiana ukweli. Pengo hajakosea, Pengo ni sauti ya wakristu Tanzania , hilo ujue kabisa , Si malasusa wala gwajima wala pimbi mwingine yeyote. Tafakari.
mkuu ukiongeza nke mwingne itabidi kwenye kitchen party chake aje kungwi GWAJIMA..
Naunga mkono maneno yako.
Haleluyah!
Cc Eiyer Mkuu wa chuo Kichwa Ndio Mtu Sangarara Ntuzu Nkwesa Makambo na Shoga yao mgen njooni huku tule chakula cha bwana.
Tumsifu Pengo! Ameeeeen!
We unafahamu ninao wanne tayari.
Labda nimuache dadako niongeze mwingine manake kiuno chake kigumu sana. Afadhali hata cha kwako.
Unadhani kanisa katoliki ni kama hivo vijikanisa vyenu, free will ata Mungu aliwapa adamu na eva, Mungu mwenyewe haingilii free will yako unajichagulia peponi au jehanamu. Nyie makanisa yenu koko ndio mmezoea kutoambiana ukweli. Pengo hajakosea, Pengo ni sauti ya wakristu Tanzania , hilo ujue kabisa , Si malasusa wala gwajima wala pimbi mwingine yeyote. Tafakari.
leo naona unafuraha isiyo kifani.
Naunga mkono maneno yako.
Haleluyah!
Cc Eiyer Mkuu wa chuo Kichwa Ndio Mtu Sangarara Ntuzu Nkwesa Makambo na Shoga yao mgen njooni huku tule chakula cha bwana.
Tumsifu Pengo! Ameeeeen!
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama Kardinali wa kanisa Katoliki Tanzania, hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
NB: Attachment ni mahubiri ya Mwadhama Kardinali Pengo ambayo ndiyo yamemfanya Gwajima aongee hayo