Duu huyu ni mwehu si mchungaji! Naomba Pengo asimjibu amsamehe ni wazi dish limeyumba hakika.
Ngwajima ni mgonjwa hakika
twatwatwa wazungu wanasema "not every nonsense is a nonsense" yaani si kili upuuzi ni upuuzi mtupu. sasa hata kama baba yako anafanya jambo la upuuzi lazima umwambie baba huu ni upuuzi... live with principles dont be idealistic.wakati unaongea na mzee wako jaribu kumwambia hilo neno "mpuuzi" alafu turetee mrejesho hapa
kwa style hii naanza kumkubali gwajima,hawa viongozi wajingajinga waliolewa madaraka na ufisadi hii ndio saizi yao,hivyohivyo gwajima wako wengi wiki ijayo mpake mwingine
Baadhi ya watanzania wanaugonjwa wa kushabikia mambo bila hata kujua misingi yake ni ipi. Kamwe mwenye akili timamu hawezi kushindwa kuona ukosefu wa Gwajima kwenye jambo hili.
Nafikiri hata wewe mwenyewe uliyoyaandika huoni ukweli wake ndio maana unamaliza kwa kuomba ueleweke.
Nakushangaa mno kwa ulichoandika, huwezi kusema kwamba Gwajima ni jasiri, unamaanisha jasiri wa kutukana? Hivi wewe unakubaliana na kupiga kura ya hapana katika uchaguzi kwasababu askofu ndio amekushauri? wewe unaamini katika demokrasia au udikteta?
Naomba watanzania tutumie vizuri akili zetu, kwani ikifika mahali watu wanafurahia kuambiwa wapige kura ya hapana na siyo ya ndiyo tumefika pabaya. Mimi ni mkristo lakini katika hili tuambiane ukweli tu. Namna ya Gwajima ya kutukana wenzake hivyo ndio imenitisha zaidi na kuthibitisha yote mabay ambayo nasikia juu yake kwamba yaweza kuwa kweli kwa mtu kama huyu.
mkuu nawe unasapoti matusi ya gwajima!?
Exodus 22.
28 Thou shalt not revile the gods, nor curse the ruler of thy people.
Acts 23:5
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.
Mi hata sipati jibu,hivi kuna watu wanaojielewa kweli wanaohudhuria hizo ibada za wachungaji wa sampuli hii?
Nafikiri hata wewe mwenyewe uliyoyaandika huoni ukweli wake ndio maana unamaliza kwa kuomba ueleweke.
Nakushangaa mno kwa ulichoandika, huwezi kusema kwamba Gwajima ni jasiri, unamaanisha jasiri wa kutukana? Hivi wewe unakubaliana na kupiga kura ya hapana katika uchaguzi kwasababu askofu ndio amekushauri? wewe unaamini katika demokrasia au udikteta?
Naomba watanzania tutumie vizuri akili zetu, kwani ikifika mahali watu wanafurahia kuambiwa wapige kura ya hapana na siyo ya ndiyo tumefika pabaya. Mimi ni mkristo lakini katika hili tuambiane ukweli tu. Namna ya Gwajima ya kutukana wenzake hivyo ndio imenitisha zaidi na kuthibitisha yote mabay ambayo nasikia juu yake kwamba yaweza kuwa kweli kwa mtu kama huyu.[/QUOT
"not guilty until innocent proven" sasa gwajima kaprove guiltiness ya pengo kwa kuwasaliti maaskofu wenzake na mabaraza mengine yakikristo.Tusi gani gwajima alilotukana ndugu fazili?
Kama wewe ni mfuasi wa Gwajima jaribu kutumia akili yako uone kama ungependa watu waige mfano wa Gwajima. Hata wale wahuni mtaani wanaheshimiana pale wanapoambiana ukweli lakini sio kwa mtindo huu.
Licha ya kwamba kiwango hiki cha Gwajima hakijafikia kiwango cha mkristo wa kawaida, nasema kiwango hiki hakifai hata kwa mpagani.
Gwajima yuko sawa mshazoea kupelekwa tu. Mkiambiwa ukweli hamtaki. Msaliti Pengo. Gwajima Hoyeeeeeeeeeee nimekupenda sana kwa hili
Ha ha ha Mkuu upooo?
Nilipenda Sana nukuu ya Maaskofu kabla ya kutoa lile tamko....
"Nanyi kwa subira yenu mtaziponya nafsi zenu" Luka. 21:19
Huo mstari Una maana kubwa Sana kwetu tunaoharakisha mambo mazito Kama katiba utafikiri tunafukuzwa.
ukifanya kitu cha kipumbavu utaitwa MPUMBAVU, ukifanya cha kijinga utaitwa MJINGA na ukifanya cha kipuuzi utaitwa MPUUZI! so hakuna tusi pale...
Big up mkuu,unafiki na usaliti ni dhambi mbaya sana.
ubarikiwe.
Ha haaaaa.pale majeshi majeshi wakatoliki waende na rozali mama maria wapi na wapi ha haaaaaaaaa. Hawamuwezi Gwajima