Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Pengo ni mpuuzi coz alipuuzia makubaliano ambayo maaskofu wote kwa umoja wao walikubaliana kuhusu jambo husika.
Pia Pengo ni mnafiki coz alijitenga akaongea kinyume na makubaliano ya maaskofu wenzake kwa lengo la kujipendekeza serikalini.
Ingelikuwa enzi za Agano la Kale angepigwa mawe.
 
Kardinali Pengo amekuwa siku zote mwiba kwa serikali na hana haja hata kidogo ya kujipendekeza kwa watu waliopo chini yake.

Kwa hiyo wewe unakubaliana na kulazimishwa upige kura ya hapana na unafurahi tu kwa jinsi ulivofilisika kiuelewa wa mambo
 
Acha upuuzi ndugu yangu!
Nani asiyejua kuwa upuuzi wa Pengo umesababishwa na influence ya mtoto wa mkulima? Nani???
Utachekwa. Kama hujui uliza ufafanuliwe ili uelewe.
 
Acha upuuzi ndugu yangu!
Nani asiyejua kuwa upuuzi wa Pengo umesababishwa na influence ya mtoto wa mkulima? Nani???
Utachekwa. Kama hujui uliza ufafanuliwe ili uelewe.

Unaona unavyozungumza ukiwa offside ya mada iliyopo kwasababu watanzania wengi na wewe ukiwapo wanakwenda kama mazezeta tu bila kujielewa
 
Msikilize vizuri Kardinali Pengo, neno kwa neno; sentensi kwa sentensi halafu fanya tafakuri jadidi kisha urudi hapa.
 
Ukafiri ni bora kuliko kua mfuasi wa zezeta allah na mtume wake

Hujajibu swali we kafiri.
Gwajima Kamuita Pengo MPUMBAVU na mjinga asiyekusa na AKILI.
Wewe unasemaje? Je! Alichosema Gwajima ni kweli?
 
Kwenye ukristo hatushabikii uhuni

Teh teh teh teh!

Hii movie sijui nani Sterling! Mi yangu macho.
Waefeso mnarushana kimasai.
Kaazi kweli kweli.

Angetukana Muislamu hapo mngesema ana mapepo!
 
Mimi naona mambo ya siasa tuwsachie wana siasa nyie watumishi wa mungu tekelezeni YA mungu siasa ni mbaya sana haswa kwa kiogozi wa dini
 
mkuu nawe unasapoti matusi ya gwajima!?

We mnyonga viuno huyo hajatukanwa hapo. Kapewa cheo chake na pia mwisho wa Maneno ya Gwiji Gwajima Amemuuliza "...ni nani amemloga?"
Mi nadhani Labda katumwa na Waislamu au we mnyonga kiuno unasemaje?
 
Kwa ujumla pengo alikwenda nje ya mstari Kwa kutamka aliyosema ikijulikana kuwa msimamo wa kanisa la RC kuwa ni hapana, lkn Pia Si haki hata kidogo mbinguni na duniani style aliyotumia Gwajima kupingana na maoni ya Pengo!!kuanzia Ktk kuchagua Maneno, sauti na alipoyasemea!!!binafsi nimeumia Sana na Mungu awape hekima!
 
Ukituwekea hapa ukweli kuhusu msimamo wa kanisa katoliki kuwa ni HAPANA utatusaidia sana mkuu.
 
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.

ni kawaida yetu sisi sio watu wa visasi, huyo bwana mdogo gwajima tunampuuza tu na Mungu amrehemu!
 
Acha upuuzi ndugu yangu!
Nani asiyejua kuwa upuuzi wa Pengo umesababishwa na influence ya mtoto wa mkulima? Nani???
Utachekwa. Kama hujui uliza ufafanuliwe ili uelewe.

hebu fafanua mkuu!

.....waiting
 
gwajima ni mpiga dili tu. Gwajima akiwa mtumishi wa Mungu basi kila mtu duniani ni mtumishi wa Mungu.

Kuna siku alimchamba CAG Assad watu wakashangilia humu, cag akasema huyu ni mwehu...naona leo kibao kimemgeukia baba askofu...hatari sana.
 
Hujajibu swali we kafiri.
Gwajima Kamuita Pengo MPUMBAVU na mjinga asiyekusa na AKILI.
Wewe unasemaje? Je! Alichosema Gwajima ni kweli?

Ila gwajima anajua kuchamba, anafaa kujiunga na mzee yusuf, kamchamba baba wa watu hadi nimeona huruma.
 
Ila gwajima anajua kuchamba, anafaa kujiunga na mzee yusuf, kamchamba baba wa watu hadi nimeona huruma.

Mkuu kwani we hujatambua kuwa Hawa viongozi wote wa Kikristo mipasho ni fani yao?
Kwani hujawahi kumsikia Mtikila au Dr Slaa kwa mipasho?
Hizi kwaya Zinaharibu sana Wanamme!
 
Mi hata sipati jibu,hivi kuna watu wanaojielewa kweli wanaohudhuria hizo ibada za wachungaji wa sampuli hii?

sana tu. tena UKIFIKA WAKATI WA KUMTWANGA SHETANI; HUWA HAWAKOPESHI WANAMPA ZA USO::
 
Unaona unavyozungumza ukiwa offside ya mada iliyopo kwasababu watanzania wengi na wewe ukiwapo wanakwenda kama mazezeta tu bila kujielewa

WEWE ndio hujamuelewa. mimi nimemuelewa na hajatoka nje. Kalenga angle nyeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…