Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Maneno ya Gwajima VS Matendo ya Pengo????????????????????????
Ingekuwa tuko katika nchi iliyostaarabika - Pengo angepigwa risasi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Una Asilimia 90% ya Mihemko .. au Hypoxia unatumia only 10% ya ubongo wako
 
Asante Kikulachochako, Asante kwa kunipa hoja ya upande wa alichosema Pengo! Naomba tafadhali unipatie source nami nimsikilize/nimsome Kardinali Pengo. Please kama unayo.

Bahati mbaya mkuu sina nakala yake...kama kuna mwanajamii mwenye nayo atatusaidia...
 
Sioni tatizo kwa pengo na wala si busara kuwaamulia watu pengo ndo yupo sahihi kabisa alichoongea.
 
Sasa hujasikia alichokisema Pengo halafu unamtetea baba flora!!

Ninaposema sina nakala...nina maanisha kuwa baada ya kusoma huo ujumbe wake Pengo sijahifadhi nakala yake....nadhani umeshanielewa...
 
Acha mapenzi ya kutumia moyo weweee. Pengo ni mtoto wa kiume, agangamalee, mmekalia katukanwaa katukanwa, hilo la usaliti wa wakubwa wenzie mnaona kama Pengo anacheza mdako??? Grow up!

Mchungaji wako amekufundisha mtu akikusaliti mtukane? Kama tamko lina makosa Pengo akubali tu kisa taasisi imesema hivyo? Unakubalije mtu timamu uamuliwe aina ya Kura? Leo maaskofu wakituamulia Rais wa kumpigia kura utakubali? Acha kujidhalilisha wewe kisa Jina bandia na hatukuoni
 
 
Gwajima is psychiatric and pathetic person, kalewa mafanikio na cheap popularity, UUNGWANA NA AKILI YA MHASHAM KADINALI PENGO ipo juu saana kueleweka na Gwajima. Achunguzwe akili zake asije akachoma watu moto kama KIBWETELE wa Uganda, na pengine kwao ndo huko, manake hana busara ya kitanzania hata chembe. Anaongea utumbo na matusi halafu watu wanamshangalia, SOMETHING IS NOT RIGHT.
 
Hata kama alikosea Gwajima hakuwa na haki ya kumtukana;
Je, hivyo ndivyo kuongoza roho za watu ili wafike mbinguni?

Gwajima ni mhuni tu.


Umbea tuu, leta habari, gwajima ni mtanzania wa wapi
 
Natabiri anguko kubwa la Gwajima ndani ya miaka mitatu. Mark my words.
 

naona kiingereza kinakupiga chenga, unabishana na kitu ulichoandika mwenyewe!kazi kweli kweli
 
Natabiri anguko kubwa la Gwajima ndani ya miaka mitatu. Mark my words.

....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.
 
....kisa kumwambia pengo hivi?
.....tatizo pengo mmemuona kama Yesu, pengo ni mwanadamu tu kama wewe, hivyo usimtukuze kiviiiiile.



Tutasikia mengi safari hii.....Kwanini na Gwajima anaipinga katiba pendekezwa? Kwanini asifanye kz ya Mungu na kuachana na mambo ya serikali? Je hivi ndio Yesu alifanya pale alipokua hapa Duniani? Au ni muendelezo wa vuguvugu la wa protestant km walivofanya ktk katiba ya US pale zamani ndio linaendelea?
 
Heshima kwenu Wanabodi
Wote mtakuwa mmemsikia jinsi Mchungaji Gwajima alivyomtusi Kardinal Pengo juu ya msimamo wake kwenye tamko lilotolewa na Maskofu...Na katika shutuma za Gwajima alisema kuwa kuna mtu yupo nyuma ya Kadinali Pengo kumbe ni Pinda aka wapigwe tuu.

Waliopo ndani wananyetisha kuwa Pinda na Pengo wanaurafiki wa siku nyingi ambao unachagizwa na wawili hawa kusoma seminari moja na wote wakiwa ni wafipa. Tamko alilolitoa Kadinali Pengo inasemakana ilikuwa kwa maagizo ya Pinda. Kitu ambacho kiliwasikitisha Maskofu na waumini wengi maana Pendo alishiriki katika zoezi zima kisha akaja kutoa tamko ambalo kwa tafsiri nyepesi ni kama Pengo alikuwa ana likwepa tamko lililo tolewa na Maaskofu.

Baada ya Gwajima kuhamua kumtolea uvivu Pengo na Kumpa Vipande Vyake( Japo matusi na maneno ya Gwajima hayakuwa ya kiungwana) kimemkera sana Pinda na sasa vijana wapo kazini kufuatialia kanisa na Gwajima Soon utasikia ...... Japo Maofisa waliopewa kazi hawajalifurahia sana hili na walimshauri aliyewatuma kuwa serikali isijiingize kwenye hili bali waachie maaskofu wenyewe.

Urafiki huu kati ya Pinda na Pengo unahusishwa na harakati za uungwaji mkono katika mbio za uraisi kitu ambacho kinazidi kuonyesha ni jinsi gani CCM kupitia wanachama wake ambao wanawania uraisi wanavyo tumia mbinu chafu.

Naomba kuwasilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…