Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Tofauti kati ya Cardinals na Bishops ni ipi? Je balozi wa papa kutoka Vatican, nafasi yake ni ipi?
Hii ni kweli, Raisi wa baraza la maaskofu katoliki(TEC), Tarsicius Ngalalekumtwa, ndiyo msemaji.Sawa kabisa, ila kuna msemaji wa kanisa katoliki tz ambaye ni TEC.
Mahakama ya kadhi nimeiweka kwenye kifungu cha peke yake kabisa ktk post yangu. Haihusiani na katiba pendekezwa na CCM, nadhani umeshindwa kunielewa kijana.
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.
Kwanza mkuu naomba nikusahihishe, Pengo sio mkuu wa kanisa katoliki Tanzania na wala cheo hicho hakipo.
Pengo ni askofu mkuu wa jimbo la Dsm na mamlaka yake yanaishia Dae es salaam, Pengo ni sawa tu na askofu mkuu wa Dodoma, Mtwara au Shinyanga, Kadinali maana yake, ni mkatoliki ambaye ana fursa ya kwenda Vatican kushiriki uchaguzi wa Papa, si zaidi ya hapo, Kadinali anaweza hata akawa hajaufikia uaskofu, Historia inaonyesha watu makadinali ambao walikuwa hata hawajafikia hata hatua ya upadri.
Tukirudi kwenye hoja ya msingi, Pengo amejishushia sana heshima kwa sababu ya undumilakuwili na kuonekana ni kama anayejipinga mwenyewe. Yeye ni sehemu ya baraza la maaskofu katoliki(TEC)amesaini waraka huo wa jukwaa la wakristo na ameruhusu usomwe makanisani katika jimbo lake, je, anapokuja leo kuponda waraka huo jamii imweleweje?
Yeye anasema kuwa haipaswi kuwaamlia wananchi wapige kura ya hapana, yeye anavyotaka wapige kura ya ndiyo sio kuwaamria wananchi?
Kanisa limetimiza wajibu wake wa kutoa wosia wa kinabii juu ya nini jamii inachotakiwa kufanya, je Pengo si sehemu ya kanisa?
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.
Kwa hiyo maaskofu woooteee hawana akili ila yeye peke yake? Maamuzi ya kikao na maamuzi ya mtu mmoja yepi yana weight?
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani. Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo. Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
kwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???
Hata mimi naona hivyo. Ni afadhali Pengo aliongea kwa upole tena akiwa neutral, wala hakusema muipigie katiba kura ya NDIYO, bali alisema watu waamue wenyewe (kupiga NDIYO au HAPANA). Huyu Gwajima nimemdharau zaidi kwani kuongea maneno hayo madhabahuni inatia shaka kama anamtumikia Kristu. Bado nasita kuamini kama ni Gwajima kaongea hayokweli pengo kakosea lakini nazani gwajima kajidhalilisha zaidi
Hata mimi naona hivyo. Ni afadhali Pengo aliongea kwa upole tena akiwa neutral, wala hakusema muipigie katiba kura ya NDIYO, bali alisema watu waamue wenyewe (kupiga NDIYO au HAPANA). Huyu Gwajima nimemdharau zaidi kwani kuongea maneno hayo madhabahuni inatia shaka kama anamtumikia Kristu. Bado nasita kuamini kama ni Gwajima kaongea hayo