Labda Nikwambie kitu kanisa la gwajima likua sana na kujaza watu mno lilipokuwa likishughulika na mambo Ya imani ya Gwajima akisema Apigweeee Huyu......... watu waasema apigweeee !!!!.Kanisa likajaa hadi kuvuka barabara sasa hivi kaingia siasa mimi pia nimeacha kumshobokea na upako wakeSikiliza audio ya gwajima,mnamshangilia kumbe mwenzenu anahitaji kwenda kupata maombi ufufuo na uzima
Yuko vizuri,sasa hivi kaagiza treni na muda si mrefu atatandika reli kabla ya serikali ya ccm ili kupeleka waumini kanisaniLabda NikwMbie kitu kanisa la gwajima likua sana na kujaza watu mno lilipokuwa likishughulika na mambo Ya imani ya Gwajima akisema Apigweeee Huyu......... watu waasema apigweeee !!!!.Kanisa likajaa hadi kuvuka barabara sasa hivi kaingia siasa mimi pia nimeacha kumshobokea na upako wake
Ahadi hewa za treni hewa Na reli hewa ya gwajima please ziaminini nyie wadanganyika na mzitumie kuwadanganya waumini wenu au wale mnaotaka kuwarubuni wafurike kitapeli kwa gwajimaYuko vizuri,sasa hivi kaagiza treni na muda si mrefu atatandika reli kabla ya serikali ya ccm ili kupeleka waumini kanisani
Mwambie mzee Pengo akatolewe uchawi aliopigwa na watesi wake
Mimi nimesoma Nilikuwa mshabiki sana WA Gwajima niliacha nilipokutana na Mchungaji WA assemblies of God niliyesoma naye sekondari akanifafanulia Zaidi ya masaa manne kuhusu imani ya Gwajima na ahadi zake hewa za kurubuni waumini dhaifu nikaelewa nikaamdharau Gwajima. Anatumia siasa kujaza waumini kanisani Wakisema tunaenda kanisani kwa gwajima siku akifa na kanisa linakufa liwe LA mwingira gwajima lusekelo kwa katunzi kwa lwakatare nk waanzilishi wakifa na kanisa linakufa. Anyway yule Mchungaji wa TAG alibi convince. Naamini utapeli wa kutapeli waumini kuwa unanunua treni na kujenga reli nk una mwisho sio kila mwenda kanisani anataka treni au reli kanisani nikiwemo mimiWafuasi wa gwaj ...unatokana na udhaifu wa serekali kutopeleka watu skuli...laiti watu wangalisoma na kuwa na proper reasoning ....nadhani kanisani kwake angelibaki na viti tu..
Kama na wewe unajiita msomi,basi taifa lina hasaraMimi nimesoma Nilikuwa mshabiki sana WA Gwajima niliacha nilipokutana na Mchungaji WA assemblies of God niliyesoma naye sekondari akanifafanulia Zaidi ya masaa manne kuhusu imani ya Gwajima na ahadi zake hewa za kurubuni waumini dhaifu nikaelewa nikaamdharau Gwajima. Anatumia siasa kujaza waumini kanisani Wakisema tunaenda kanisani kwa gwajima siku akifa na kanisa linakufa liwe LA mwingira gwajima lusekelo kwa katunzi kwa lwakatare nk waanzilishi wakifa na kanisa linakufa. Anyway yule Mchungaji wa TAG alibi convince. Naamini utapeli wa kutapeli waumini kuwa unanunua treni na kujenga reli nk una mwisho sio kila mwenda kanisani anataka treni au reli kanisani nikiwemo mimi
Haina shida huwezi kuniweka kundi kirahisi la waumini hewa wanaoamini kuwa gwajima anajenga reli hewa na kuleta treni hewa please. Huko nitoe niwe msomi koko or whatever niite utakavyo but I can't be part of gwajima scam sorry in case I have offended youKama na wewe unajiita msomi,basi taifa lina hasara
Huyo ndio kiboko yake Pengo, wengine wote mnamchekea tu.Gwajima chizz kweli ha ha haaa
Labda Nikwambie kitu kanisa la gwajima likua sana na kujaza watu mno lilipokuwa likishughulika na mambo Ya imani ya Gwajima akisema Apigweeee Huyu......... watu waasema apigweeee !!!!.Kanisa likajaa hadi kuvuka barabara sasa hivi kaingia siasa mimi pia nimeacha kumshobokea na upako wake
Gwajima sasa hivi anafanya re-play tu ya audio yake haongei tena alishamliza.Do hili kaburi limefukuliwa naona Gwajima aliona mbali.