Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Bwana mdogo ushabwia ugoro nini!!?
Pengo alichopinga ni waumini kulazimishwa kupiga kura ya hapana na sio kukubali mahakama ya kadhi uwe unachangia kitu unachoelewa acha kukurupuka.

Je amesemaje juu ya kauli ya wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Ndiyo?
 
na mkuu je anayewaambia wananchi wapige kura ya ndio hakosei?
 
Gwajima mchungaji wa nguruwe huyo kazi yake ni kuropoka tu. Waumini wenye akili hawawezi kwenda kusali kwa mchawi
 
wafu wanakokotana...

pengo nae MNAFIKI? kama zitto kabwe ?

:bange::bange::bange::bange:
 
Sehemu ya mahubiri ya Mwadhama Kardinali Pengo:
 
Kiukweli Pengo amedhihirisha kuwa yeye ana mahaba na CCM, ni hii mbaya sana kwa watumishi wa mungu.

Mbona Mnahukumu hukumu tu.. Pengo amesema Maamuzi ya Kura ya Ndio ja Hapana Ni ya Wananchi..

Ccm Imesema Wapige Kura Ya Ndio.. Wengine kura ya Hapana.. Sasa Pengo kosa lake nini NA mihemko Yenu ya Misukule
 
Katumia lugha kali sana

Viongozi wa zamani walielewa vema misemo kama: mwenzio akikupa sumu na mungu akakunusuru basi wewe mpe asali; ukitaka cha uvunguni inama; aliye juu mngoje atashuka n.k...viongozi wa sasa ni tofauti sanaa ndo maana ..."akiwa juu mfuate huko huko".." ukitaka cha uvunguni inua kitanda" n.k
 
Pengo kakosea sana, na hii si mara ya kwanza kujichanganya.

Turudi nyuma, unaposema Pengo ni sawa na askofu wa Mtwara, Shinyanga... Unafikiri Pengo anaweza kuhamishiwa jimbo kama la Geita au Kahama au huko Mtwara? Kuna mahitaji fulani yanatakiwa yafikiwe ili jimbo liwe na hadhi ya kuongozwa na kardinali. Hao ndio huitwa princes of the Church.
 
Mbona Mnahukumu hukumu tu.. Pengo amesema Maamuzi ya Kura ya Ndio ja Hapana Ni ya Wananchi..

Ccm Imesema Wapige Kura Ya Ndio.. Wengine kura ya Hapana.. Sasa Pengo kosa lake nini NA mihemko Yenu ya Misukule

mkuu achana nao wengi wamehemka tu
 
Duu huyu ni mwehu si mchungaji! Naomba Pengo asimjibu amsamehe ni wazi dish limeyumba hakika.

Ngwajima ni mgonjwa hakika

Kama santuri inayoimba huipendi haina maana kwamba aliyeipiga ni mwehu, tatizo litakuwa ni wewe tuu ambaye umeshindwa kuielewa.
 
Gwajima asamehewe hajui atendalo amejipotezea umaarufu kwa waumini wake sisi RC tumejifunza kusamehe na hasa mtu kama Gwajima anataka kuharibu hali ya hewa nimemsikiliza nimeshindwa kuamini ni yeye au mtu kaigiza sauti yake yeye hajui mabaya yake

Ngwajima dish limeyumba kabisa...Teh Teh..huyu jamaa anamwambia kiongozi mwenzie anavishwa pampasi duuu
 
pendo ndo kajidharirisha, pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono gwajima, kwa hali ya sasa ya tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono mahakama ya kadhi.

mahakama ya kadhi itakuja tu kwani islam ni dini ya m'mungu si dini ya binadamu au kabila fulani kama na nyie wakristo mnataka mahakama ruksa kuanzisha
 

Attachments

  • Screenshot_2015-03-21-20-01-32.jpg
    95.2 KB · Views: 410
Anaweza akahamiwa popote tu kama aliyekuwa msaidizi wake Methodius Kilaini alivyohamishiwa Bukoba.

Ukardinali hauhusiano kwa namna yeyote na uaskofu, ni vitu viwili visivyokuwa na uhusiano, anaweza asiwe askofu ila akawa kardinali, na anaweza asiwe kardinali na akawa askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es salaam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…