Asisitiza hakuna MAHAKAMA, POLISI WALA BUNGE lenye mamlaka ya kumfanya chochote.
Nimeaattach clip yote.
Mytake: Pengo anastahili heshima zote, si sahihi kutukanwa kwa kutoa mawazo yake hata kama huyapendi. Nawaomba vyombo va sheria vimchukulie hatua kali
We jamaa kichwani mwako sijui umeweka nini aisee, anyway mimi sina mda wa kuweka mjadala mreeefu na wewe.
Kwa kifupi tu ni kwamba mimi naunga mkono kwa wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Hapana juu ya katiba hii yenye maslahi ya CCM, wewe kama unaona katiba ina maslahi kwako basi kaipigie kura ila sisi tunaoona kuwa hii katiba sio ya wananchi na ni ya CCM hatuipigii kura.
Mwisho kabisa ni kwamba Mahakama ya kadhi ni janga kwa taifa.
Asante sana Gwajima kwa kumpaka huyu kibaraka wa magamba kama yule wa kigoma
Mungu wangu..................Pengo kapewa za uso na inawezekana akaenda mahakamani.
Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania ni nani?
asisitiza hakuna mahakama, polisi wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote.
Nimeaattach clip yote.
Mytake: Pengo anastahili heshima zote, si sahihi kutukanwa kwa kutoa mawazo yake hata kama huyapendi. Nawaomba vyombo va sheria vimchukulie hatua kali
kwa style hii naanza kumkubali gwajima,hawa viongozi wajingajinga waliolewa madaraka na ufisadi hii ndio saizi yao,hivyohivyo gwajima wako wengi wiki ijayo mpake mwingine
Ameshindwa kushugulikia maaskofu waliokula mgao wa ESCROW anakuja kuleta upuuzi wake huku.Mimi ni mkatoliki nasiumi maneno Pengo kachemka tena sana.Ila nashukuru mapadri huku parokiani wanatuambia katiba haifai.
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.
Tatizo watu wametekwa na siasa, hawataki kuambiwa ukweli hata kidogo. Mahaba ya siasa ndio yanayowafanya wamtukane Pengo na kuona kakosea alichokisema. Pengo kama mkuu wa kanisa katoliki Tanzania hawezi kuona mambo yanaenda kinyume halafu akakaa kimya, haiwezekani.
Kanisa halijafikia hatua ya kufanya maamuzi kwa niaba ya waumini wake, kanisa halijafikia hatua ya kulamisha watu katika suala linalohitaji haki na uhuru wa mtu. Kumwambia mtu lazima akapige kura ya hapana hiyo si sawa hata kidogo, na hata kumwambia mtu lazima akapige kura ya ndiyo nayo si sawa hata kidogo.
Mtu anapaswa kupiga kura kwa mujibu wa maamuzi na matakwa yake binafsi na si kulazimishwa. Ni sahaihi kuwaelimisha watu manzuri na mabaya ya katiba pendekezwa lakini si sahihi kuwapangia watu kura ya kupiga.
Gwajima mzinzi mkubwa na mwizi wa wake zawatu. Sadaka za masikini zinazompa kiburi na dharau zitamkaanga kama viazi katika moto wa milele. Na ulaaniwe Gwajima