Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
ndio maana hatutaki uwekezaji wa waarabu, ni washenzi watatuharibia nchi
Austria na Australia ni nchi mbili tofauti wewe..Siku hizi Austria ni ya Waarabu
Kanisome post #164Kuna utetezi mwingine usio na mantiki. Umeona hata hao Wahusika na wasimamizi (TAWA) hapa kwetu nchini wanasema kuna uwalakini. Japo walitakiwa wao kuwa wafuatiliaji toka hapa nchini si kusubiri kitu kikamatwe.
Swala si Austria ni ya waarabu( Japo umekurupuka si Austria bali Australia. Austria ipo Ulaya ni nchi mbili tofauti) kama ulivyoandika.
Biashara isiyo halali/halali inaweza fanywa kokote na mtu yoyote. Kwani waarabu hawawezi fanya biashara nchi nyingine! Ha ha ha!
Nasahihisha tu kauli yako japo si lazima wawe waarabu. Ila utetezi wako ni ziro.
Mama nchi imemshinda!
Waarabu ni majangili
Huo wizi umethibitishwa na nani? Na nani huyo mwizi,?Austria na Australia ni nchi mbili tofauti wewe..
Ni wazi Australia siyo nchi ya Waarabu, ila wanaweza kupeleka kuuza huko, kama ambavyo hata wewe unawrza.
Tatizo ni wizi wa nyara
Binadamu mbona official kabisa, siku nyingi sana. Fàmilia zao zinawaaga eyapoti kwa shangwe na furaha. Cheza na Dirham wewe.
Picha ikimuonyesha Mmasai akiwacheki vibaraka wa Otterlo Business Corporation (OBC),kampuni ya utalii ya kifahari ya Big- game tourism inayomilikiwa familia ya kifalme ya Falme za Kiarabu.
Kampuni hiyo inaendesha uwanja wa ndege Ngorongoro kwa wawindaji nyara.
Siku za mbele, wataanza kubeba Binadamu kwenda kuwa watumwa huko Arabuni.
Hiyo toka enzi za Mwinyi, mbona wapo wengi tu wenye vitalu?
Picha ikimuonyesha Mmasai akiwacheki vibaraka wa Otterlo Business Corporation (OBC),kampuni ya utalii ya kifahari ya Big- game tourism inayomilikiwa familia ya kifalme ya Falme za Kiarabu.
Kampuni hiyo inaendesha uwanja wa ndege Ngorongoro kwa wawindaji nyara.
Siku za mbele, wataanza kubeba Binadamu kwenda kuwa watumwa huko Arabuni.
Hilo halina Ubishi, na kwa mantiki ya hoja yako, nikuulize, Mzee wangu hakuwa Mzanzibari? ? UtajijijuHiyo toka enzi za Mwinyi, mbona wapo wengi tu wenye vitalu?
Hoja siyo mwenye kitalu au vitalu, hoja ni wizi wa Nyara za SerikaliKuna nwenye kitalu kikubwa Tanzania hii zaidi ya mzungu?
Hivi hizo shule unazodai kudhuru ulienda kusomea ujinga? Ati ndio nimeamka.Ndiyo kwanza leo umeamka?
Ha ha. Ungejua. Wacha nikuache tu.Binadamu mbona official kabisa, siku nyingi sana. Fàmilia zao zinawaaga eyapoti kwa shangwe na furaha. Cheza na Dirham wewe.
Kumbe umelala?
Hoja ni wizi au siyo?Hilo halina Ubishi, na kwa mantiki ya hoja yako, nikuulize, Mzee wangu hakuwa Mzanzibari? ? Utajijiju
Hoja siyo mwenye kitalu au vitalu, hoja ni wizi wa Nyara za Serikali
Hivi hizo shule unazodai kudhuru ulienda kusomea ujinga? Ati ndio nimeamka.
Taarifa ndio hiyo, tulia.
Uniwache kwani tuliowana lini? Unaota?Ha ha. Ungejua. Wacha nikuache tu.
Mzee wako wewe uniulize mimi? Unaumwa?Hilo halina Ubishi, na kwa mantiki ya hoja yako, nikuulize, Mzee wangu hakuwa Mzanzibari? ? Utajijiju
Waarabu ndiyo walinda usalama au custom officers wa KIA?Waarabu wamepewa KIA hakuna namna
Waarabu ndiyo wapo Australia,Waarabu wanafanya yao