Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?
 
Ndio maana huwa nasema wew shule Ulienda kusomea ujinga
Soma historia kijana, utanielewa kwanini nimesema hivyo, kama huielewi historia ya Tanzania na Algeria huwezi kunielewa kabisa.

Jiulize kwanini shule maarufu ya sekondari ilipewa jina la Ben Bela? Unamfahamu Ben Bela?

Mama Samia Suluhu ni mwanafunzi wa shule hiyo.

Damu nzito kuliko maji.
 
Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?
Sasa swali linakuja hapo, vitalu vya Otelo Loliondo vinahusika nini hata wanafik waje kuvitaja hapa?

Nyara zikamatwe zilikokamatwa, wasemwe Waarabu/ Ficheni upumbavu wenu huko.

Kwani hao TAWA wamesema zimepitaje hizo nyara na zimesafirishwa vipi na wao walikuwa wapi? Hao ndiyo wa kushikwa kwanza kabisa na kujieleza.
 
Hahaaaa mkuu wanaita big cat,,,
 
Ni Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?
 
Ni
Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?
Ni halali kabisa ukiwa na kibali. Mbona watu wanaua sana tu kwa vibali. Tena wanajulikana kabisa wakuuliwa ni wepi, Simba hususan dume likishakuwa zee likifukuzwa kwenye familia (pack) na vijana ni heria auliwe inapatikana faida kuliko kuwachwa afe kwa mateso na njaa, huwa hawezi kuwinda peke yake.

Inaitwa "culling" kitaalaam, Tembo wengi wanauliwa kwa njia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…