Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Ndio maana huwa nasema wew shule Ulienda kusomea ujingaKwanza mnaosema sema waarabu humu, ilifaa muwashukuru, jana wamemwekea heshima mama Samia kuwawachgia muingie Afcon.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana huwa nasema wew shule Ulienda kusomea ujingaKwanza mnaosema sema waarabu humu, ilifaa muwashukuru, jana wamemwekea heshima mama Samia kuwawachgia muingie Afcon.
Kwa umri wako mpaka Leo hiii hujui majukumu ya jeshiJWTZ kazi yao ni kutishia raia nguo badala ya kulinda rasilimali za nchi.
Hata hatujui mabadiliko yapo Kila wiki.Waziri wa utalii alikuwa nani
Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?Someni wacheni kukurupuka:
Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
Huyo mbimbi ni kichwa maji kabisa usipoteze muda naeKuna sheria inaruhusu kuua simba na kusafirisha nje?
Ikulu imekaa majangiliWaarabu ni majangili
Soma historia kijana, utanielewa kwanini nimesema hivyo, kama huielewi historia ya Tanzania na Algeria huwezi kunielewa kabisa.Ndio maana huwa nasema wew shule Ulienda kusomea ujinga
Aione Faiza FoxyNi nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2743460
View attachment 2743489
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
View attachment 2743103
View attachment 2743104
Sasa swali linakuja hapo, vitalu vya Otelo Loliondo vinahusika nini hata wanafik waje kuvitaja hapa?Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?
Wewe hujui kuwa waarabu wamepewa ngorongoro na kia?Kwani haikufatwa sheria?
Siku hizi Austria ni ya Waarabu?
Wacha uongo. Ngorongoro iko chini ya UNESCO, katafute UNESCO ni nini.Wewe hujui kuwa waarabu wamepewa ngorongoro na kia?
Umbwa wewe na waarabu mtatoka tuWacha uongo. Ngorongoro iko chini ya UNESCO, katafute UNESCO ni nini.
Kia ipo chini ya KADCO kasome KADCO ni nini.
Hahaaaa mkuu wanaita big cat,,,Mbona video ya kutengeneza hii..sio uhalisia na ulichoandika!! Hiyo ngozi ya chui si ndio ile alievishwa samia na machifu?
Halafu.wazungu waache ujinga..simba ni simba na chui nichui wataitaje nyau wakubwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Biashara ya madini ni halali, lkn ukiifanya bila vibali inakuwa jinai..
Biashara yoyote hata kama ni halali, ikifanywa kwa magendo bila vibali inakuwa ni HARAMU..
View attachment 2743464
View attachment 2743467
Tuletee hizo sheriaMsikae mnadanganyana hapa. Biashara ya kukausha wanyama ni halali kabisa Tanzania:
View attachment 2743356
View attachment 2743357
Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?Siyo kusema tu, hiyo siyo biashara haramu labda utake kuifanya kuharamu kwa ujinga tu au kukwepa kodi za serikali.
Katazame post #154 nimewqeka mpaka ushahidi kuwa hiyo ni biashara halali kabisa kwa Tanzania.
Siku hizi sijuwi kama Dar bado wapo, lakini Arusha na Mwanza najuwa wapo, duka la Mwanza tena wana ngozi nzuri sana za nyoka, kenge, na wanyama wengine:
View attachment 2743393
Tusikae tundanganyana JF, tuelimishane vya halali na haramu.
Mali asili za wanyamaporini biashara kubwa ya halali Tanzania.
Tz jeshi lake lina kazi gani? Waende Ukraine wapate mafunzo kwa vitendo.Kwa umri wako mpaka Leo hiii hujui majukumu ya jeshi
Ni halali kabisa ukiwa na kibali. Mbona watu wanaua sana tu kwa vibali. Tena wanajulikana kabisa wakuuliwa ni wepi, Simba hususan dume likishakuwa zee likifukuzwa kwenye familia (pack) na vijana ni heria auliwe inapatikana faida kuliko kuwachwa afe kwa mateso na njaa, huwa hawezi kuwinda peke yake.Ni
Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?