Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Someni wacheni kukurupuka:

Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?
 
Ndio maana huwa nasema wew shule Ulienda kusomea ujinga
Soma historia kijana, utanielewa kwanini nimesema hivyo, kama huielewi historia ya Tanzania na Algeria huwezi kunielewa kabisa.

Jiulize kwanini shule maarufu ya sekondari ilipewa jina la Ben Bela? Unamfahamu Ben Bela?

Mama Samia Suluhu ni mwanafunzi wa shule hiyo.

Damu nzito kuliko maji.
 
Wewe kichwa maji wa kizanzibari kwani TAWA hawajui kama kuna mnada wa vitalu? Na kwa sheria hipi kwenye vitalu wana ruhusu kuwinda simba na kuficha nyara?Nyie wazanzibari mbona mmelegea kila kitu hadi akili?
Sasa swali linakuja hapo, vitalu vya Otelo Loliondo vinahusika nini hata wanafik waje kuvitaja hapa?

Nyara zikamatwe zilikokamatwa, wasemwe Waarabu/ Ficheni upumbavu wenu huko.

Kwani hao TAWA wamesema zimepitaje hizo nyara na zimesafirishwa vipi na wao walikuwa wapi? Hao ndiyo wa kushikwa kwanza kabisa na kujieleza.
 
Mbona video ya kutengeneza hii..sio uhalisia na ulichoandika!! Hiyo ngozi ya chui si ndio ile alievishwa samia na machifu?

Halafu.wazungu waache ujinga..simba ni simba na chui nichui wataitaje nyau wakubwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaaa mkuu wanaita big cat,,,
 
Ni
Siyo kusema tu, hiyo siyo biashara haramu labda utake kuifanya kuharamu kwa ujinga tu au kukwepa kodi za serikali.

Katazame post #154 nimewqeka mpaka ushahidi kuwa hiyo ni biashara halali kabisa kwa Tanzania.

Siku hizi sijuwi kama Dar bado wapo, lakini Arusha na Mwanza najuwa wapo, duka la Mwanza tena wana ngozi nzuri sana za nyoka, kenge, na wanyama wengine:

View attachment 2743393

Tusikae tundanganyana JF, tuelimishane vya halali na haramu.

Mali asili za wanyamaporini biashara kubwa ya halali Tanzania.
Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?
 
Ni
Ni halali kuua masimba na machui makubwa? Akili zako umezivilingisha kwenye nikabu?
Ni halali kabisa ukiwa na kibali. Mbona watu wanaua sana tu kwa vibali. Tena wanajulikana kabisa wakuuliwa ni wepi, Simba hususan dume likishakuwa zee likifukuzwa kwenye familia (pack) na vijana ni heria auliwe inapatikana faida kuliko kuwachwa afe kwa mateso na njaa, huwa hawezi kuwinda peke yake.

Inaitwa "culling" kitaalaam, Tembo wengi wanauliwa kwa njia hii.
 
Back
Top Bottom