Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

This is full of bull crap

I don’t support chakandumuz approach but if this is what ccm can come up with…. It’s not good at all
 
Hii michambo bila shaka ni mama mwenyewe
 
Sawaa Wanu.

Tushakufahamu yakheee
 
Kwa taarifa yako wee nyumbu, hiyo NRNE election imetokea chama kubwa kwa bwana Yule, akampa mzee wa bapa kabla hajafurushwa, ilikuwa trick tuu kumtingisha Mama.
Lakini kila kitu kilivurugwa baada ya uchaguzi wa chadema. Mengine yabaki kwenye faili
Sasa kama mzee wa bapa alishirikiana na bwana yule inakuaje tena anacheka na kilemba
 
Wataalamu wa mashairi wakusaidie kuelewa
 
Wamwaga damu wapi? Wee ulisikia Zanzibar kuna wamwaga damu...
Hizo tabia za bara, ushanfahamu? Ustaarabu tumeumbiwa
Mashallah,mtoto mzuri nimekupenda weyee, mola akujalie,tabia njema mmeumbiwa na uzuri vilevile,
Watatuweza?
Hawatuwezi,masaafu ya mtume!
 
Kwa taarifa yako wee nyumbu, hiyo NRNE election imetokea chama kubwa kwa bwana Yule, akampa mzee wa bapa kabla hajafurushwa, ilikuwa trick tuu kumtingisha Mama.
Lakini kila kitu kilivurugwa baada ya uchaguzi wa chadema. Mengine yabaki kwenye faili
Nilichoambulia ni " Ushanfahamu sio"!

Na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…