Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Narudia tena,

Ingawa siwezi kukwambia chochote kuhusu kile naagiza kwa dollar na imekuwa changamoto

Ila ukae ukijua, nakupa siri tu za wafanya biashara sisi kwamba, hata hayo mafuta kuoanda saana, changamoto ni dollar
Huna lolote wewe unafata mkumbo wa maneno ya watu tu.

Mafuta Tanzania rahisi kuliko Kenya, nako vipi?

Kama hutaki kusema unaagiza nini, sema unaagiza wapi?
 
Huna lolote wewe unafata mkumbo wa maneno ya watu tu.

Mafuta Tanzania rahisi kuliko Kenya, nako vipi?

Kama hutaki kusema unaagiza nini, sema unaagiza wapi?
Usiyekuwa na lolote ni wewe unayebishia mpaka bunge lako na waziri wako wa fedha
 
Uko sahihi

Kile usichokuwa sahihi, umeshindwa kubainisha unafuu wa mkulima anaupata wapi na atajiendeleza vipi anapouza mazao yake kwa bei juu, akirudi kwenye vifaa vingine vya ujenzi, analutana na mrundikano wa bei

Nafuu yake ni ipi hapo mkuu
Kwanza itambulike hii nchi haina sera ya kuwainua Watanzania wa asili kiuchumi.
Kama ipo sera na mipango hiyo naomba mnikosoe kwa kuiweka.

Kila kitu nchi hii ni kodi na hakuna nafuu kwa Raia Toka awamu zilizopita mpaka hii.

Tukija kwenye jicho la kijasiriamali Mkulima atafaidika kwa kupata fedha zaidi baada ya kuuza bidhaa kwa bei nzuri hivyo kupunguza ukali wa maisha na kumudu gharama za maisha.

Bidhaa za ujenzi zilipanda toka awamu zilizopita na hata Sasa zitaendelea kupanda sio tu kwa mkulima Bali kwa walala hoi wote watateseka.

Hakuna sera ya nchi kupambana na tatizo hili, chanzo kikubwa ikiwa ni Kodi na gharama kubwa za uendeshaji.

Sio wakulima tu, vipi vibarua wa viwanda mbali mbali mbona hamuwaangalii maslahi yao?

Vipi kazi za bar, migahawa, hoteli na wenyewe sio wanyonge? Tuna sheria za kuwalinda?

Tatizo kubwa la Watanzania hata kwenye huu Uzi ni unafiki na roho ya kwa nini au kifupi roho mbaya badala ya kupigania maslahi ya nchi wenyewe hufurahi kundi fulani likinyanyasika.

Wenyewe hutazama kundi la wafanyakazi kama wezi wakati tunajisahau dhima tuliyompa Mwalimu kulea Vijana wetu au Mkunga na wagonjwa wetu.
 
Halafu wanasema tuwakosoe kwa staha ,shuwain zao
 
Wale wanafiki watesema mama anaupiga mwingi sijui anaupigia wap
 
Uongozi dhaifu kama wa huyu bibib kila kitu hutsfuta excuse ,lakin uongozi imara hutafuta suluhisho
 
Serikali dhaifu kupata kutokea toka Tz imeumbwa ni hii ya 6 sijui, ni kama mbwa koko!.
Serikali pekee iliyobariki upigaji, rejea Mama akiwaambia wasaidizi wake (Mawaziri) wale kwa urefu wa kamba zao shingoni!.
Et wale ila wasivimbiwe!.
Umeongea ukweli ,kama huyu mazA alikuwa hataki kuingoz tz angesema tu kuliko kufungulia mwa kama alivyofanya
 
Uanmwembela mwela tu ww ukikosa kazi haimaNishi nchi ipo vibaya matatizo yako binafs sio matatizo ya nchi ,kwa hiyu amekutsdolla 2130 anaipeleka 3000 muda sio mrefu halafu unakuj na pumba zako
 
Umeandika nini sasa na wewe
 
Huu ndio ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…