Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Kikwete was the worst president , mama Kajenga shule na hospitals kibao . Ka improve health sectors sana . KIKWETE AMNA KITU AMFANYA 😂😂😂. Alikuwa useless sana .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Mradi wa mwendokasi Kimara ni jitihada za KikweteKikwete was the worst president , mama Kajenga shule na hospitals kibao . Ka improve health sectors sana . KIKWETE AMNA KITU AMFANYA [emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa useless sana .
Mwananchi wa hali ya chini yupi?Maisha yamekuwa bora sana kwa waliopo kwenye link, Hao mdo utawakuta sites zao mbalimbali wakifanya ujenzi n.k, Kiufupi wao ukiwaambia habari za awamu hii kuwa ni mbaya hawatakuelewa hata kidogo... Ila kiuhalisia Mwananchi wa hali ya chini anaisoma namba kweli kweli
All of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo1.Mradi wa mwendokasi Kimara ni jitihada za Kikwete
2.Daraja la Kigamboni( Nyerere)
3.Daraja la Maragarasi
4.Shule za kata nchi nzima
5.Chuo kikuu Cha Dodoma
6.Taasisi ya moyo jakaya Kikwete
7. Barabara ya Masasi -Songea to Mbambabay
8. Kuajiri kila mwaka na Nyongeza za mishahara
9.Barabara ya Mbeya Chunya
10.Majengo marefu mengi yameanza wakati wake na Mzizima Towers mpaka Leo halijaisha
Kikwete?? Ndo nani sasa! Aliyesababisha vijana karibu wote kariakoo manzese, Tandale, mbagala n.k kuwa wavuta ngada??1.Mradi wa mwendokasi Kimara ni jitihada za Kikwete
2.Daraja la Kigamboni( Nyerere)
3.Daraja la Maragarasi
4.Shule za kata nchi nzima
5.Chuo kikuu Cha Dodoma
6.Taasisi ya moyo jakaya Kikwete
7. Barabara ya Masasi -Songea to Mbambabay
8. Kuajiri kila mwaka na Nyongeza za mishahara
9.Barabara ya Mbeya Chunya
10.Majengo marefu mengi yameanza wakati wake na Mzizima Towers mpaka Leo halijaisha
Si unajua masikini tulivyo,Nitajie raia mmoja aliyenufaika kwa wakati ule?
Hivi unajisikiliza kweli na kuelewa?All of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo
Mkuu hiyo ni lugha ya pichaUnauliza mmoja?? We kweli chawa!
Kuna bwana mmoja anaitwa Robert Heriel alisema usiwaonee huruma masikini, Sasa ndio napata picha na khasa masikini wa fikra kama hawaSi unajua masikini tulivyo,
Wakati ule ulikuwa wa njaa mpaka tulikabwa na jinamizi la nyerere usingizini
Lakini kwa kuwa tuliona waliofanikiwa wanapewa kibano, ili tosha kutupa usingizi hata kama tumbo liko tupu.
Yupo mtu kamtaja Kikwete, nadhani hii hoja Anza kuisoma kwa huyo mtu.Kikwete?? Ndo nani sasa! Aliyesababisha vijana karibu wote kariakoo manzese, Tandale, mbagala n.k kuwa wavuta ngada??
Tunazungumzia kikwete hapa!
Tunamwongelea aliyeshindwa na hajui anataka atupeleke wapi
Lucas mwashambwa FaizaFoxy CCHuduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Vijana wanabuya unga tu na kuwa kama mazezeta, maana yake, awamu hii wauza unga wanatamba tu hawana mtu wa kuwatisha!
Ni tafrani tupu
Lete ushahidiAll of these are mkapa plans . Udom is all Mkapa Udom hosp BEnjamin mkapa for a reason . Kikwete did nothing . Amna kitu chake. Hapo
Nadhani wewe uko nje ya nchi au unakaa Masaki.Mimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.
Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.
Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.
Biashara kuimalika
Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa
Mzunguko wa pesa kuonekana
Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki
Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha
Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo
Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa
Wakulima angalau wanaona faida
Elimu ya juu pesa imeongezwa.
Hongera yako wewe mwenzetu ni mmoja wa wala keki ya Taifa.Mimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.
Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.
Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.
Biashara kuimalika
Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa
Mzunguko wa pesa kuonekana
Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki
Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha
Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo
Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa
Wakulima angalau wanaona faida
Elimu ya juu pesa imeongezwa.
At least mkuu unaandika kwa hoja, kongole kwako.Nadhani wewe uko nje ya nchi au unakaa Masaki.
Tuanze na wakulima, Bei ya mahindi umeporomoka toka 80,000 kwa gunia Hadi 60,000 serikali haina uwezo wa kuyanunua.
Foreign direct investment nchi haina umeme?
Ni mradi gani uliomalizika tangu aingie? SGR Dar/Moro mwaka wa Saba huu. Kwa taarifa yako ulikua ukamilike 2019. Sasa hivi Ni migomo na kazi inasuasua. Hakuna kichwa Cha treni Wala behewa.
Kule JNHEP nyufa ndio zimetawala (alisema naibu waziri mkuu)
Watu wanafunguliwa kesi za michongo kwa kuimba ukweli au kusema ukweli kuhusu DP w au wamaasai wanavyohamishwa kutoka ngorongoro.
Kaka Kama uko nje ya nchi, siku moja moja angalia tv za tz lkn sio tiibiisii.
Kwenye ilani Yao Dar zilikua zijengwe fly over kadhaa, ninachoona Ni foleni ya malori Kati ya kibaha na Chalinze na Ile ya kichefuchefu ya Tunduma. Imagine inachukua siku Hadi sita kwa lorry ku Kross boda na kuingia Zambia.
Mimi nashangaa, mnaleta DP W, Haya hayo makontena yakishatoka bandarini fasta, mtayapeleka wapi, maana pale border kuvuka Ni Hadi ukae pale six working days. Mawaziri wapo, makatibu wapo. Madereva wanateseka Tunduma.
Ni mtandao huruHongera yako wewe mwenzetu ni mmoja wa wala keki ya Taifa.